Yamenikutaaaaaaaaaaaaaa

Hivi, just curious, AshaDii, huyu anaweza kuwa umri gani kati ya ile uliotoa kwenye ranks zako?
 
Last edited by a moderator:
jaman utoto huu
raha ee?

kila stage ina utamu wake bana!

mwacheni dogo afurahike! kwa kiasi fulani amepruvu kwamba ni rijali!

sasa sijui ingekuwaje kama angekutwa na mwanaume mwenzie anapumuliwa kisogoni?
 
kweli lakini..
wacha ainjoi..shule zishafunguliwa lakini

mwallu, najua rank yako ni kati ya 23 to 35, here you are matured.

sasa unataka kuniambia kwamba enzi zako za foolish age haukufanya haya kweli?

hata zile za baba mama?
 
Last edited by a moderator:

Dogo story yako nzuri na inachekesha na imekumbusha watu mengi waliyo wahi kupitia! japo wako walio kuponda kwa kigezo cha UTOTO. Ungeandika tukio la kuhuzunisha wange kupa pole za kupitiliza ila umeandika cha kuchekesha (japo wamecheka) wamekuponda. Kama una storry tano au kumi zenye ukweli unaochekesha ziandike uzitunze then fikiria jinsi ya kuandika kijarida cha ucheshi! wako wanao andika uchafu mkubwa kuhusu ufuska na vitabu vinanunuliwa kwa fujo! jipange
 
wewe umeamua tu kutufurahisha bro angefurahi tu kwamba kijana yupo gado.
 
Mnafungua lini shule mwende huko ili tubaki watu wazima JF?
 
Haya bana wapeni watoto zao msiwanyanyase
 
so boring,anyway ashaipost na tumeisoma.karibu sana jf mmu dogo
 
like seriouslyyyyy!!! Dumbest story i've ever heard before!!
I wish kujiunga jf kungefanywa kwa foleni kama za bss! Khaa!

kwenda zako huko wenzio tumecheka na kituko cha leo wew wew unajifanya kununa??!"nuna had upasuke
 
Yaani Ni Bora Wewe Japo Watu Wanakuponda, Kunawatu Wazima Humu Jf Wanapost Upuuzi Sana Wanaishia Kuwaponda Wenzao, Wanajifanya Smarter As If Hawakupitia Hiyo Stage, Na Utakuta Wao Ndio Walikuwa Victims Sana Na Hiyo Stage
 
Hivi wale wanaopost mada za kujamba jamba si watu wazima kabisa?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…