Yamenikuta, vituko vya mke bosi, nifanyeje na kazi naipenda?

Duuuuh, kwanza hongera kwa kupata kipima uaminifu.

Kama kisa ulichoandika ni kweli usijaribu kufungua hiyo zipu iliyoandikwa YKK. For sure ukijiroga tu ndo umeozea jera na familia yako utaisahau. Pia hayo mazingira anayokuwekea angalia yasikupeleke kubaya maana cku mumewe akikuotea upo unategwa ndo umekwisha.

Tafuta kaz nyngne,kwan b4 uliishije?
 
Kula mzigo wewe acha uboya..ungekuwa ndo unaniambia hizo habari na tuko karibu ningekuchapa makofi kwa ULOFA unaouzungumza...unatatizo gani mkuu.

Naogopa yasinikute ya Babu Seya. Mahakamani kesi hugeuzwageuzwa 1+2 ikawa=12 badala ya 3
 
Nakushauri huyo mama usimkubalie ombi lake. Wewe unyesha msimamo wako huku pia ukionyesha heshima kwao( mume na mke)

Pili, wakati anajitongozesha kwako mrekodi kwenye simu yako pasipo yeye. kujua ili ikitokea siku amekuchongea kwa mumewe kuwa unamtaka kinguvu , hizo video ulizomrekodi ndio zitakazokuokoa. Na huyo mume atakuamini na hata kukutafutia kazi sehemu nyingine ataweza.
 
Nemo finished it. Mkuu majaribu huja na kuondoka, swala ni jinsi gani umejiandaa kukabiliana nayo. Make high your deeds and don't get deceived rest you fall into hell. Your family needs you now than ever. Kama una masikio na usikie
 
Last edited by a moderator:
Ukigonga tu umeharibu maisha na familia yako na hutakuwa na amani utafanywa mtumwa wa mapenzi nakushauri usikubali
 

Kumbe akina Yusufu bado mpo? changamka! yatakukuta yaliyomkuta.
 

Love you Nemo. Love your wisdom ..
 
Last edited by a moderator:
Nemo its touching ... reminds me a lot! God bless!!
 
Last edited by a moderator:
Hata Yusuphu/Joseph mtoto wa Yakobo angeendekeza ngono asingekuwa mkuu wa Misri chini tu ya Farao.
Acha tamaa mkuu jikaze kaka God will reward you.
 

Thank you for your credt advice Nemo. One thing is, I've tried all my best to keep away from her sexual assult but being hard to understand she persist on being screwd by me. What if i fix her just a single day and look outfasioned? Ie. I do it below the standard? Think twice 'n help me or else she'll kill me.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…