makedonia
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 3,761
- 3,019
Kula mzigo wewe acha uboya..ungekuwa ndo unaniambia hizo habari na tuko karibu ningekuchapa makofi kwa ULOFA unaouzungumza...unatatizo gani mkuu.
Wala chips mayai hao.....

Tafuna jomba tafuna!...daah ama kweli mahindi humuotea mtu asiye na meno!...
Nemo;
Umejaliwa hekima na busara. Women kike u are very scarcy these days. Huyo mama si kwamba anataka chochote zaidi tu ya kuliwazwa kwa maneno msumari ka hayo. Weka ukweli mezani, atakusikiliza, atakuhurumia na kukuona wa maana. Huwenda ana ka-serengeti kake mafichoni hivyo anataka umshike paja tu aifanye hiyo ndo fimbo ya kukukomeshea.
Siku utalia ni hapo atakuambia tazama mbele tuu usiangalie kiti cha nyuma ana daktari anamchoma sindano. Uambiwe
:bange::bange:kazi yako ni udereva:bange:
Mkuu uache kazi kivipi na wewe unaihitaji? Just talk to her! She sounds like she needs attention more than anything. So you can say something like "Mama I'll be lying if I say sikutamani, lakini ki ukweli ndoa yangu bado ni changa, na isitoshe kazi hii ndiyo tegemeo langu na familia. Forgive me but mimi singependa wala sitataka kukuvunjia heshima wewe, bosi ama mke wangu."
Nemo its touching ... reminds me a lot! God bless!!Mkuu uache kazi kivipi na wewe unaihitaji? Just talk to her! She sounds like she needs attention more than anything. So you can say something like "Mama I'll be lying if I say sikutamani, lakini ki ukweli ndoa yangu bado ni changa, na isitoshe kazi hii ndiyo tegemeo langu na familia. Forgive me but mimi singependa wala sitataka kukuvunjia heshima wewe, bosi ama mke wangu."