Na wakisomaaa hiiii ukirudii tenaa awadili na watejaa n wewe binafsiiIla ndugu yangu uchawi haupo. Ni wewe tu umekata tamaa mapema. Halafu hujazungumzia ubora wa huduma yako, inawezekana hapo ndo umepigiwa bao wewe unadhani ni uchawi
Kiukweli sikataai HAYO mamboo yapoo imani ndioo itakupeleka palee unapootakaaNilifungua biashara ya chakula mbali kidogo na ninapo ishi. Miezi minne ya kwanza biashara ilikuwa ikienda vizuri, hivyo nikajiwekea mipango kadhaa ya kupanua biashara yangu.
Baada ya miezi kama sita hivi akaja mama mmoja kufungua biashara jirani na kwangu, yani frem ya pembeni yangu kabisa. Tukaanza kugawana wateja, hivyo biashara ikawa inasua sua si kama mwanzo.
Baada kama ya miezi miwili toka yule mama afike kila nikifika asubuhi nakuta friji imejizima; vyakula vimeharika, juisi na maziwa vimeharibika pia.
Ile friji nilinunua mpya kabisa, ilibidi nimuite fundi aikague lakini akasema ipo sawa. Cha ajabu, kuanzia asubuhi mpaka jioni tunapokuwepo tukiwasha friji haijizimi, nikasema tujaribu tusiwashe siku nzima kisha usiku tu ndio iwake lakini bado tukirudi friji imezima na vitu vimeharibika.
Kwa bahati mbaya si kil ulichopika watu watanunua na kitaisha, hivyo ilibidi nibadilishe friji lakini hali ikawa ile ile. Nikaweka jenereta lakini wapi
Kipindi hicho wateja sipati kabisa mpaka nikaamua kufunga ile biashara.
Wewe mama wa kimakonde ulichonifanya pale Kawe sokoni sitakusahau, SITAKUSAHAU MILELE.
Sent using Jamii Forums mobile app
Angeongeza na oliva oil kwisha habari yakeungepaka chumvi tu frij ungeona
Siku nyingine ukianzisha biashara usianze biashara kitoto.
Maana sio kila mtu anapendezwa na mafanikio yako.
"Mbona hata computer na simu zina password/security"
Yaaanii angeshaaaaa Munguu akusaidiee urudiihapohapoo aonee.afanikioo yakoo
Nilifungua biashara ya chakula mbali kidogo na ninapo ishi. Miezi minne ya kwanza biashara ilikuwa ikienda vizuri, hivyo nikajiwekea mipango kadhaa ya kupanua biashara yangu.
Baada ya miezi kama sita hivi akaja mama mmoja kufungua biashara jirani na kwangu, yani frem ya pembeni yangu kabisa. Tukaanza kugawana wateja, hivyo biashara ikawa inasua sua si kama mwanzo.
Baada kama ya miezi miwili toka yule mama afike kila nikifika asubuhi nakuta friji imejizima; vyakula vimeharika, juisi na maziwa vimeharibika pia.
Ile friji nilinunua mpya kabisa, ilibidi nimuite fundi aikague lakini akasema ipo sawa. Cha ajabu, kuanzia asubuhi mpaka jioni tunapokuwepo tukiwasha friji haijizimi, nikasema tujaribu tusiwashe siku nzima kisha usiku tu ndio iwake lakini bado tukirudi friji imezima na vitu vimeharibika.
Kwa bahati mbaya si kil ulichopika watu watanunua na kitaisha, hivyo ilibidi nibadilishe friji lakini hali ikawa ile ile. Nikaweka jenereta lakini wapi
Kipindi hicho wateja sipati kabisa mpaka nikaamua kufunga ile biashara.
Wewe mama wa kimakonde ulichonifanya pale Kawe sokoni sitakusahau, SITAKUSAHAU MILELE.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa na mawazo mgando hivi lazima ufilisike. Badala ya kufanya analysis why mafridge yanazima usiku.. unakimbilia kwa waganga..Nilifungua biashara ya chakula mbali kidogo na ninapo ishi. Miezi minne ya kwanza biashara ilikuwa ikienda vizuri, hivyo nikajiwekea mipango kadhaa ya kupanua biashara yangu.
Baada ya miezi kama sita hivi akaja mama mmoja kufungua biashara jirani na kwangu, yani frem ya pembeni yangu kabisa. Tukaanza kugawana wateja, hivyo biashara ikawa inasua sua si kama mwanzo.
Baada kama ya miezi miwili toka yule mama afike kila nikifika asubuhi nakuta friji imejizima; vyakula vimeharika, juisi na maziwa vimeharibika pia.
Ile friji nilinunua mpya kabisa, ilibidi nimuite fundi aikague lakini akasema ipo sawa. Cha ajabu, kuanzia asubuhi mpaka jioni tunapokuwepo tukiwasha friji haijizimi, nikasema tujaribu tusiwashe siku nzima kisha usiku tu ndio iwake lakini bado tukirudi friji imezima na vitu vimeharibika.
Kwa bahati mbaya si kil ulichopika watu watanunua na kitaisha, hivyo ilibidi nibadilishe friji lakini hali ikawa ile ile. Nikaweka jenereta lakini wapi
Kipindi hicho wateja sipati kabisa mpaka nikaamua kufunga ile biashara.
Wewe mama wa kimakonde ulichonifanya pale Kawe sokoni sitakusahau, SITAKUSAHAU MILELE.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchawi upo ila siyo wa kuamini sana inawezekana friji lako bovu tuu,, na vile vile ukitaka kufanya jambo lolote mtangulize mungu mbele mungu hajawahi kushindwa kabisa amini hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji12][emoji12][emoji12]Tufanye Forex haina kulogana. Kimya kimya tu tunafukuzana na life
Namna hiyo napenda jinsi vijana tunatumia fursa. Achana na wale mabongozozo wanasema forex ni utapeli[emoji12][emoji12][emoji12] View attachment 1370906
HahahahaaaaNa wakisomaaa hiiii ukirudii tenaa awadili na watejaa n wewe binafsii