maji maref
Member
- Nov 18, 2016
- 63
- 16
- Thread starter
-
- #21
niko kwenye kipind cha shida i was in need of cash so alivoniaminisha na pia namwona hoja zake humu jf nikaaminiMh kuna watu wa ajabu ajabu Duniani hapa hivi unawezaje kumwamini mtu
Kiongozi sina voda, natumia tigo, airtel na halotel0765455013 naomba nichekie kwa mpesa anatumia jina lipi
Atakuja na id mpya...sim hapokei ndo sembuse kuja huku
hilo nimekwisha jiapiza sitakaa nirudie tenaDaaah pole...kosa ulilofanya ni kumuamin mtu na kumtumia kabla hajatoa chochote...yn usirudie . .biashara za mtandaoni ni htr tena mkoa tofauti...
Pole sana...endelea kumtafuta
Ungejiuliza swali hili kabla hujamtumia hiyo simu, tusengekuwa tunazungumza haya sasa.sa cjui ka vitambulisho alivonionesha ni vyake halisi
nahisi hizo ids ni fake pia mkuuAtakuja na id mpya...
Lakini kwa kuwa nakala ya vitambulisho vyake unavyo inaweza ikakusaidia, but inawezekana pia alikutumia fake ids
yea nimeamini hii ndio mistake ambayo nitaijutia mileleMkuu we tulia tu afu potezea hiyo simu. Maana wewe ndio umefanya mistake kubwa sana. Hata siku moja usidanganyike kirahisi hivyo na hali yenyewe ya maisha unaiona. Pole sana.
nilikua sijawahi experience sasa hivi ndo nimeelewa watu wanaolia kutapeliwa mitandaoniHizi biashara za mitandaoni tusimbilie kufanya bila kujuwa faida na hasara. Ni kweli ni rahisi kumpata mteja lakini malipo ndo shida.
matatizo made me do so jamani haikua kwa mapenzi yangu[emoji17]Ungejiuliza swali hili kabla hujamtumia hiyo simu, tusengekuwa tunazungumza haya sasa.
Mimi nauza vitu vingi online,ila mteja wa mara ya kwanza siwezi kumtumia kitu bila kulipa. Kama hawezi kulipa kwanza basi atafute kwingine.Hizi biashara za mitandaoni tusimbilie kufanya bila kujuwa faida na hasara. Ni kweli ni rahisi kumpata mteja lakini malipo ndo shida.
yes hilo ndo lengo kuu la kupost hii thread kuwaonya wenzangu isiwakute kama hii[emoji20][emoji20]Pole mkuu,hii iwe fundisho kwa wengine kuweni makini!
asante kiongozipole sana
Tukutane pm tuyajenge.asante sana kk
imeshakua fundisho [emoji24][emoji24]
poa nilitaka kufanya hivyo ila naogopa incase hizo id hazikua zake then niishie kuchafua mtu asiyehusika halitakua jambo la busaraWeka hivyo vitambulisho na Id zake humu lazima kuna mtu atakuwa anamfahamu, kama hii issue uliyo ipresent ni true story