Yamenikuta na mpemba huyu

Unge mgonga yeye na huyo jini, pumbavu zake, mjeshi hachagui uwanja wa vita
 
Ilishawahi kunitokea 14 yrs ago, niliomba Sala zote. Alipandisha mashetani akasema kwa sauti ya kiume NIACHE NAKWAMBIA πŸ‘ΉπŸ‘ΊπŸ‘ΊπŸ‘ΊHalafu akawa anajipigiza kichwa ukutani mpaka vioo vya madirisha vikawa vinatikisika
 
Unajua kabisa hao hawapatani na ugali mlenda ila wewe ukakomaa na pishi ona sasa πŸ˜… πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…