EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,712
Dem wa kwenye daladala unapanga appointment mbili? [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
weeeh wasumbufu unapangiwa client uende kuongea nae iwe asubuhi mchana usiku lazima ukaongee nae unauza chaiiiiiiii weeeh...then ukimaliza umvutie atoe pesa..then anatafuta mwingine tena umvutie weeeh mi nikaona hii ufala huu watu kama 300 ufikishe mchezo weeh n.a. hela juu utoe..sitaki kuwaskia kabisa..goodmorning hapo saa tatu usikuWacha kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]..jamaa wamechangamka..kila mtu anakusalimia kwa kukushika mkono..et wanakuambia baada ya mwezi unapata mil.200.[emoji23][emoji23][emoji23]nlicheka asee mpaka wakajishtukia..ila yote kwa yote nkijua dem anafanya biashara izo ntamla tu nakumpiga chini! Ule n utapeli wa wazi waz
Sent using Jamii Forums mobile app
One mistake 1 goal.Dem wa kwenye daladala unapanga appointment mbili? [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
weeeh wasumbufu unapangiwa client uende kuongea nae iwe asubuhi mchana usiku lazima ukaongee nae unauza chaiiiiiiii weeeh...then ukimaliza umvutie atoe pesa..then anatafuta mwingine tena umvutie weeeh mi nikaona hii ufala huu watu kama 300 ufikishe mchezo weeh n.a. hela juu utoe..sitaki kuwaskia kabisa..goodmorning hapo saa tatu usiku
Sent using Jamii Forums mobile app
kwanza wenyewe tu wengi watovu wanidhamu kwa waume zao n.a. wanaume nao wahuni huni tu..ila mpka uwajue utumie akili kidogo[emoji23][emoji23][emoji23] sanasana waweza gombana na watu wako wa karibu! Hiv nakutafunwa c wanatafunwa sana jmn!
Sent using Jamii Forums mobile app