[emoji23][emoji23][emoji23] nilipiga mo faya za kutosha asee,acha kabisaMtu ushabeba rough rider zako kadhaa, pengine umepita mtaani ukanywa na kasupu ka pweza, alafu unafikia kupigishwa stori za Qnet.
Kama nakuona vile mleta mada!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
- KANA -
[emoji23][emoji23][emoji23]Jitahidi uwe unavaa kiheshima mara kwa mara mkuu,siyo lazima mpaka shughuli
[emoji23][emoji23][emoji23] nilipiga mo faya za kutosha asee,acha kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂 halafu kweli,itakuwa havaagi kiheshima huyuJitahidi uwe unavaa kiheshima mara kwa mara mkuu,siyo lazima mpaka shughuli
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu kweli,itakuwa havaagi kiheshima huyu
😂😂😂 mi amenichekesha sana huyu kijana,hajui tu😂😂😂Hahahaha
Maana mpaka kaambiwa kutakua na namna hapo!
Kweli kutakuwa na namna,si bure😂😂😂 mi amenichekesha sana huyu kijana,hajui tu😂😂😂
Au n ww?[emoji23][emoji23][emoji23] mi amenichekesha sana huyu kijana,hajui tu[emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂 Naam,huenda ikawa
Asee uliniweza jana![emoji23][emoji23][emoji23] Naam,huenda ikawa
he he heHata sitaki tena,kwanza salamu zao jioni wanaamkiana gud morning!! Najua hata hapa wapo[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂