Yamenikuta, mke hashiki mimba

mwepesi

Senior Member
Jan 27, 2016
156
95
Nimeoa sasa miezi saba nimekaribia muda wote huo nimejaribu kutafuta mtoto na mke wangu ila hashiki mimba anaingia mwenzini kila mwezi.

Naomba msaada wa haraka je mke wangu anaeza kuwa na maradhi? Na wapi hospitali nzuri anaweza pata matibabu, hakika ninasononeka sana.
 
  • Thanks
Reactions: THT
Yap inawezekan pia na mim ninatatizo..sasa hapa dar wapi nitapata matibabu..pamoja na mke wang
 
  • Thanks
Reactions: THT
Mkuu nenda hospitali utapata jibu la maana (sio kwa watabibu wanaojiita doctors). Hakikisha unaenda na mkeo.

NB: Miezi saba sio ishu sana wengine wanakaa hata miaka mitatu.
 
Nimeoa sasa miez saba..imekaribia..muda wote huo nimejalibu kutafuta mtoto na mke wang..ila hashki mimba..anaingia mwenzini kila mwezi..naomba msaada wa haraka..je mke wang anaeza kua na maradhi? Na wapi hospital nzur anaweza pata matibabu....hakika ninasononeka sana..
Pole ila tatizo la kutoshika mimba huenda sperms zako zina abnormal shape haziwezi kuswim kwenda kupevusha y ai la kike au wewe una sperm count ndogo afu ziko weak . Sperm haziko flagile
 
Nimeoa sasa miez saba..imekaribia..muda wote huo nimejalibu kutafuta mtoto na mke wang..ila hashki mimba..anaingia mwenzini kila mwezi..naomba msaada wa haraka..je mke wang anaeza kua na maradhi? Na wapi hospital nzur anaweza pata matibabu....hakika ninasononeka sana..

Habari njema hii tena msipate kabisa tuko wengi sana ni lazima watu wapungue na wengine wasizaliwe, kila kitu hakitoshi nchini mwetu halafu bado mnataka tu kuongeza watu, ajira zenyewe hamna, shule hazitoshi, madawati hamna, majengo ya Hpst hayatoshi hivyo hakuna haja ya wewe kupata mtoto, tuliopo tunatosha wacha tupungue kwa kufa lkn siyo kuongezeka kwa kuzaliwa!
 
Dah..mkuu mwepesi miezi saba unaanza kuweweseka mitandaoni?watu miaka kumi hakuna hata dalili za ujauzito na wanakaa kimya wewe miezi saba umeshashindwa,tuliza akili kaka kaeni chini mpange pamoja ratiba za siku za kushika mimba mkishindwa nendeni kwa mtaalam atawaelekeza siku hasa za uzazi!usiwaze mtoto ni zawadi utapata epuka maneno ya ndugu hawa ndiyo hasa wanaojifanya kujua uzazi wa watu but mwisho wa siku Mungu ndie anaepanga.kila la kheri.
 
Nimeoa sasa miez saba..imekaribia..muda wote huo nimejalibu kutafuta mtoto na mke wang..ila hashki mimba..anaingia mwenzini kila mwezi..naomba msaada wa haraka..je mke wang anaeza kua na maradhi? Na wapi hospital nzur anaweza pata matibabu....hakika ninasononeka sana..
Mkuu, unafikiri ni kwa nini mkeo ndiye awe na matatizo na siyo wewe?
 
Nimeoa sasa miez saba..imekaribia..muda wote huo nimejalibu kutafuta mtoto na mke wang..ila hashki mimba..anaingia mwenzini kila mwezi..naomba msaada wa haraka..je mke wang anaeza kua na maradhi? Na wapi hospital nzur anaweza pata matibabu....hakika ninasononeka sana..
jamani wanawake wanaonewa sana.
huyu jamaa hajasema/kuuliza kama yeye ana tatizo au mke bali tayari amemhukum mke kuwa ndo mwenye shida...atapokeaje mimba kama hajapewa mbegu zenye kurutubisha yai?
mkapime wote acha ujinga wewe
 
Back
Top Bottom