NiliyemBEEP kanitumia tafadhali nipigie...
NiliyemBEEP kanitumia tafadhali nipigie...
nibora hyo,mie nimetuma tafadhali nipigie kanijibu tafadhali niongezee salio.NiliyemBEEP kanitumia tafadhali nipigie...
Mastomach!
Mambo?
Kwani ulimtumia crdt ?
Mi nna dadangu anafanya Airtel tena kitengo cha kuratibu crdt , bt sometyms hua ananibeep!
Sindwa kusangaa! Hata Kenyatta city mortuary kuna wakati maiti huisha ! Na Mortuary kubakia tupu !