Chapa lapaSiku hizi kila ninapompigia simu anadai yuko bize au sometime anazima simu kabisa. Ninapomtext hata harespond, NO Missed call no SMS!
Naombeni ushauri ndugu zangu...

nashukuru kwa hilo!

Kuna mdada ambaye nimetokea kumpenda sana, at first hakuonekana kuniaccept akanishauri kusaka girl friend.

Niliufuata ushauri wake na kweli nakabahatika kumnasa mdada mwingine. Cha ajabu huyu mdada sikumpenda ila nilimtamani tu.

Nilimfahamisha yote hayo huyu mdada ambaye nilimpenda sana. Baada ya kumfahamisha hayo ndipo akanijibu 'I LOVE YOU TOO'

ni kweli alionekana kunipenda sana na nikachukua uamuzi wa kumtosa yule mdada niliye mtamani.

Ni miezi minne sasa imepita!

Siku moja nilichukuwa simu yake nikakuta jina ka save 'MY WANGU'. Niliexpect pengine ingekuwa namba yangu lakini haikuwa hivyo. Sikumuambia kitu chochote kuhusiana na hiyo namba.

Siku hizi kila ninapompigia simu anadai yuko bize au sometime anazima simu kabisa. Ninapomtext hata harespond, NO Missed call no SMS!

Naombeni ushauri ndugu zangu...
Kuna mdada ambaye nimetokea kumpenda sana, at first hakuonekana kuniaccept akanishauri kusaka girl friend. ...
Niliufuata ushauri wake na kweli nakabahatika kumnasa mdada mwingine. ...
Cha ajabu huyu mdada sikumpenda ila nilimtamani tu. ...
Nilimfahamisha yote hayo huyu mdada ambaye nilimpenda sana. Baada ya kumfahamisha hayo ndipo akanijibu 'I LOVE YOU TOO'...
ni kweli alionekana kunipenda sana na nikachukua uamuzi wa kumtosa yule mdada niliye mtamani. ...
Siyo mingi ati..watu tulifukuza swala miaka..Ni miezi minne sasa imepita! ...
.. Ulifanya vizuri.. ni tabia mbaya kuhisi jambo usilojijua..Siku moja nilichukuwa simu yake nikakuta jina ka save 'MY WANGU'. Niliexpect pengine ingekuwa namba yangu lakini haikuwa hivyo. Sikumuambia kitu chochote kuhusiana na hiyo namba. ...
Kipindi cha mpito na kusaga meno..lakini kipindi kizuri cha kujua pumba na mcheleSiku hizi kila ninapompigia simu anadai yuko bize au sometime anazima simu kabisa. Ninapomtext hata harespond, NO Missed call no SMS! ...
Tafuta ukweli toka kwake.. Keep it at low profile..inawezekana ni wako..lakini pia inawezekana sio wako..usichukue jazba..wanawake wako makini na wanajua wanafanya nini..Kama ameamua anakupiga kibuti basi atakwambia ila fanya kila njia muweke kwenye kona akuambie ukweli na ufunge kitabu ...ukiwa na jazba hatokwambia… kama anataka kula hela zako..hatokwambia..yaani atakula hela zako na siku moja atakupiga kibuti..Naombeni ushauri ndugu zangu...
Second husband
Kuna mdada ambaye nimetokea kumpenda sana, at first hakuonekana kuniaccept akanishauri kusaka girl friend.
Niliufuata ushauri wake na kweli nakabahatika kumnasa mdada mwingine. Cha ajabu huyu mdada sikumpenda ila nilimtamani tu.
Nilimfahamisha yote hayo huyu mdada ambaye nilimpenda sana. Baada ya kumfahamisha hayo ndipo akanijibu 'I LOVE YOU TOO'
ni kweli alionekana kunipenda sana na nikachukua uamuzi wa kumtosa yule mdada niliye mtamani.
Ni miezi minne sasa imepita!
Siku moja nilichukuwa simu yake nikakuta jina ka save 'MY WANGU'. Niliexpect pengine ingekuwa namba yangu lakini haikuwa hivyo. Sikumuambia kitu chochote kuhusiana na hiyo namba.
Siku hizi kila ninapompigia simu anadai yuko bize au sometime anazima simu kabisa. Ninapomtext hata harespond, NO Missed call no SMS!
Naombeni ushauri ndugu zangu...

akufukuzae hakwambii toka,

kama unajua kusoma harama za nyakati kwa sasa ndo mida yake