nikikukaribisha kwangu siku moja
utagoma kurudi kwenu kwa mahanjumati
nitakayoandaa,mi nakwambia huyu alijua sitoona
hakiyanani atajuta atiii,akisafiri nitakukaribisha nyumbani!!
inabidi mleta mada atupe contact za huyo aliyerudishwa home tuka test zali!!
wala siji..afu ujue we kwa pozi lako hilo hujui kupika kweli..talk to my shansarie yuko poa kila idara..mapishi yote! kasoro kababu tu!
Malezi mengine bana, yani mtu mpaka unaolewa bado hujui kupika!! Aibuje!!
Shangaa na wewehivi inakuje mwanamke asijue kupika!?
acha kushadadia mambo
ya ndoa za watu,baki na shushari wako
khaaaa babu we nitue!!hajanifikia hata robo
na kwa taarifa yako loya alikulenga wewe ulivyokua unahangaika
kutafuta nyumba ndogo hahahaaaaa!!
Malezi mengine bana, yani mtu mpaka unaolewa bado hujui kupika!! Aibuje!!
watu wanasemaga wanawake hampendani? sasa wewe unamuita huyo best yako kwa nin usimfundishe kupika badala ya kuleta maneno hayo huku halfu inaonesha kama unafurahia flani hivi daaah..kama ni best yako msaidie sasa alaaahhhYamemkuta best yangu ameolewa hajui kupika.ilikuwa kama ka mchezo fulani ivi kila mume akirudi kazini anakuta chakula mezani bila kujua kinatoka wapi,mana hajawahi kumkuta mkewe akipika.
kumbe maskini mwanamke wa watu anapikiwa na jirani yake anamlipa, kila siku anajaziwa mahotpot zinakuja nyumbani kabla mume hajarudi. Mwanaume wa watu anakula chakula alichopikiwa na jirani yake
siku ya siku mume karudi mapema mdada hana hili wala lile mume kajilalia ndani, ghafla anasikia mkewe akipiga kelele mama rose vipi tayari hebu fanya fasta kabla mister hajarudi.kidume kikachungulia dirishani kucheck kunanini mkewe anachomficha mara anaona mahotpot yanapitishwa LOL,..... Mwanake wa watu kashtukiwa ikabidi mwanaume amfuate amuulize vipi hotpot zimetoka wapi mwanamke mimacho imemtoka ndoa imevunjika karudishwa kwao akajifunze kupika
we ungefanyaje?
watu wanasemaga wanawake hampendani? sasa wewe unamuita huyo best yako kwa nin usimfundishe kupika badala ya kuleta maneno hayo huku halfu inaonesha kama unafurahia flani hivi daaah..kama ni best yako msaidie sasa alaaahhh
mimi natalaki mke wa aina hiyo maana kwa mtu wa aina hiyo kuna mengi nyuma ya pazi ambayo ya mejificha inakuwaje asijue kupika?Mbona wapo wanawake wengi wasiojua kupika? Hivi unaweza kumtaliki mke kwa sababu hajui kupika kweli? Kuweni serious na muache kuexaggerate!
jamaa alichukua maamuzi ya haraka kwani mke ni zaidi ya mapishi jamani.
Jamaa kakosea, angempeleka VETA.