Hilo ni tukio la ngapi? Mumewe kajiteteaje? Yeye bado anaipenda hiyo ndoa? Ukiacha hizo message kuna dalili nyingine mbaya ambazo mumwe kazionyesha kwa Mkewe? Huyo rafiki yako mpaka sasa kachukua hatua gani? Mumewe kaonyesha kujutia au amekomaa? Nijibu kwanza haya maswali
Msaidie vizuri jirani yako.... atumie akili zake badala ya akili za kuambiwa. Anapoamua kuondoka ndio talaka au anataka apumzike kidogo? Kama ni talaka ahakikishe amefuata taratibu zote.... awaone viongozi wa dini waongee na mumewe, then wote wawili, kisha kama bado kuna haja ya kutengana aende mahakamani kuomba talaka kulingana na sheria ya ndoa ya mwaka 1971.Kwa mujibu wa jirani yangu hii ni mara ya kwanza kuziona sms hizo hii ni kutokana na kutokuwa na mazoea ya kusoma sms kwenye simu ya mumewe. Ila sms zinaonyesha walianza mahusiano muda mrefu. Jirani kaamua kutafuta nyumba apange sehemu nyingine kwani anasema hana imani naye tena. Anadai hivi karibuni mumewe amekuwa akinuna mara kwa mara na kumkaripia hata kwa kosa dogo analolifanya tofauti na mwanzo. Mumewe anadai walikuwa tu wanachati na huyo dada sio mpenzi wake.
yeye arudi tuu kwa mume wake...wanaune kuwa na hawara ni kitu normal sana so ataakienda kwa mwengine atakutana na hayo hayo. so ataolewa mara ngapi??. apotezee tuu na ajue kuwa siku hizi haupo peke yako. kama vipi nae akipata maujanja aonje onje mihogo mingine.
Amwambie mumewe ampe kama alivyompa hawala yake cha mtoto.... halafu na kikubwa chake akishindwa ndio zogo lianze..
Huyo jamaa ake anafanya kwa siri pia kwa tahadhari, kwa kuwa anamheshimu mkewe,
huyo mke akiona sawa amuache mmewe ili akakutane na ambao watamuomba tigo, huku wakirudi home usiku wa manane wakinukia marashi ya kike, au wakienda live na mahawara zao,