ccm wenyewe wasanii sasa unategemea nini? wana kipi cha kuwaambia wananchi zaidi ya kucheza mziki na kupiga push ups?
hawana cha kusema baada ya kudanganya kwa 54 years sasa wameamua watukane angalau vinywa vyao vitoe sauti.
na wananchi nao tunajitia uboya sisi wenyewe wanabeba kwenye malori kama viazi mbatata sasa wakituambia siye viazi tutakataa?
kama watu wanajielewa wangeenda kusikikiza mitusi yote ile?