Yamekua haya tena!

Sasa hivi bongo atakuja mdada wa bongo fleva na uvaaji kama huu. Bora kuwa mjinga kuliko kukopi usiyoyajuwa
 
Mbona hilo kufuli lote limetuna mwanzo mwisho? kajaza nini tena hapo jamani?
 
Mbona hilo kufuli lote limetuna mwanzo mwisho? kajaza nini tena hapo jamani?

Hivyo ndivyo Sir God alivyoweza kumbariki so be careful with those women.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…