barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,404
- 29,811
Jpm anamtambulisha Makonda kwa kujivunia kuwa huyu ni kijana kiboko ya wauza unga, hapo anamwambia pia yupo dogo mwingine Arusha nae ni jembe! Zuma anasema, safi sana kijana!!Yuko Rais Magufuli, Rais Zuma, Waziri Hussein Mwinyi, Katibu Mkuu Kiongozi Kijazi