Yameishia wapi??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yameishia wapi???

Discussion in 'Jamii Photos' started by ngoshwe, Nov 8, 2011.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Nov 8, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  [​IMG]
  [​IMG]
  Mchungaji Mstaafu Ambilikile Masapile akimpa dawa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) William Lukuvi na Rosemary Nyerere baada ya Lukuvi kumaliza kuukagua mtu unaozalisha dawa hiyo.
  [​IMG]

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  Mchungaji Mstaafu Mwaisapile akipokea zawadi ya simu ya Mkononi kutoka airtel. anayemkabidhi ni meneja wa biashara wa Airtel Mkoa wa Arusha, Paschal Bikomagu. Kulia DC wa Ngorongoro, Mh. Elias Lala Wawi
  [​IMG]
  Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro, Bw Elias Wawa Lali (katikati), Diwani wa Kata ya Samunge, Bw Jackson Sandea (kulia), Meneja Biashara wa Airtel mkoa wa Arusha, Paschal Bikomagu[​IMG]

  [​IMG]
   
 2. Mwita Matteo

  Mwita Matteo JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2011
  Joined: May 16, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Yameishia yalipoanzia
   
 3. Brine

  Brine JF-Expert Member

  #3
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 376
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hatahaijulikani!! watanzania ni noma
   
 4. Safina

  Safina JF-Expert Member

  #4
  Nov 8, 2011
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 498
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hayajaisha!!!!!!!!!!!!! Bado yanaendelea.
   
 5. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #5
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  thethethet!!wamehamia kwa CAMEROON!!
   
 6. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #6
  Nov 8, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  ilikuwa dawa ya kuwafanya wawe legelege
  ndo maana mambo hayaendi
   
 7. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #7
  Nov 8, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Moshi wa Mwenge nao unamalizia kwa kuwafanya mazezeta wa kifikra ili rasilimali za Taifa ziondoke mchana kweupeee huku tukitazama, tukijitahidi sana tuna andamana kisha tunarudi nyumbani!
   
 8. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #8
  Nov 9, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  yAANI TUISHIE KUWAZA "U-CAMERON"
   
 9. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #9
  Nov 9, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Hili nalo neno!
   
 10. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #10
  Nov 9, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Nguvu ya Soda Pespi kola.........
   
 11. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #11
  Nov 9, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Yalikuwa ya zamani hizo za ujing.................
   
Loading...