Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 26,023
- 36,162
Baada ya kusubiri sana hatimaye maombi yangu ya kumiliki usafiri binafsi yamefunguka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hongera kijamaBaada ya kusubiri sana hatimaye maombi yangu ya kumiliki usafiri binafsi yamefunguka
Asante mkuu Mungu ni wa kushukuriwa sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hongera kijama
Waufute kwa nini??Na huu uzi wataufuta kama uleeeeeeeeeeeeeeeee
Mungu kajibu maombi yangu au kwa lugha nyingine ndio unasema Mungu kayafungua maombi yanguYalikuwa yamefungwa?
Francis cheka kampiga John cenaWaufute kwa nini??
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Francis cheka kampiga John cena
AmenMungu kajibu maombi yangu au kwa lugha nyingine ndio unasema Mungu kayafungua maombi yangu
AmenAmen
kwa nini umenitusi?Mwehu wewe
Hahaha haya bhana, hata umri wako unakuruhusu kuleta personal issues hapa...kila la kheriBaada ya kusubiri sana hatimaye maombi yangu ya kumiliki usafiri binafsi yamefunguka
Asante mkuuHahaha haya bhana, hata umri wako unakuruhusu kuleta personal issues hapa...kila la kheri