Yamebaki masaa 17 Agustino Polepole akinukishe.

Busu la Kenge

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2025
Posts
2,543
Reaction score
4,670
Niko zangu tu hapa nikitetemeka balaa. Hule mkwara kaka yake Polex2 aliouchimba asubuhi mwamba hatanii yuko serious ukizingatia ni kanali, yuko jeshi la NATO anabusu hadi mamba tumekwisha.

Imebakia masaa 17 tu.

Wanaomshikilia Polepole si wamwache tu wampeleke Segerea kwa mama yake akiwa huru? Hii itasaidia sana kuleta sitomfaham.

Am telling you the truth wasipofanya hivyo hell will break loose na hata sisi ambao hatuhusikii tutadhurika na kuhathirika.

MODS please help us am fakingscared!




adriz de mbusii
 
 
Umenikumbusha muvi la first blood no two.
 
na unavyo chochea khaaa😅😅🙌 na picha juu kama ushahidi
 
Alipata kusemaje kipenzi chetu kwenye suala zima la kulipa kisasi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…