Yamebaki masaa 17 Agustino Polepole akinukishe.

Yamebaki masaa 17 Agustino Polepole akinukishe.

Niko zangu tu hapa nikitetemeka balaa. Hule mkwara kaka yake Polex2 aliouchimba asubuhi mwamba hatanii yuko serious ukizingatia ni kanali, yuko jeshi la NATO anabusu hadi mamba tumekwisha.

Imebakia masaa 17 tu.

Wanaomshikilia Polepole si wamwache tu wampeleke Segerea kwa mama yake akiwa huru? Hii itasaidia sana kuleta sitomfaham.

Am telling you the truth wasipofanya hivyo hell will break loose na hata sisi ambao hatuhusikii tutadhurika na kuhathirika.

MODS please help us am fakingscared!

View attachment 3508325View attachment 3508326


adriz de mbusii
At this time bado mangapi?!
 
Sidhani kama ameamaanisha kwamba baada ya masaa 24 on the spot mtaona hiko mnachotaka kukiona bali ni mwanzo wa yeye ku put the ignition on so inaeza ikatokea muda wowote from 24 hours hata trhe 9 hio who knows!
 
Issue iliyopo mbele yake sio nyepesi kama watu wanavyochukulia humu ndani. Ni jambo linahohitaji taarifa nyingi nyeti na za kina sio kukurupuka na ndio maana pia kwake inachukua mda, akisema akimbie kimbie yeye mwenyewe watamla kichwa mapema tu.. Watanzania wengi wazito kufikiri kwa kina, ni watu wa emotion sana ndio maana tunapigwa sanaa
 
Toka niwaone wanajeshi wakifokewa na polisi siku ya maandamano,nimekuwa siwaamini kabisa.Huyu kaka wa polepole anapiga mkwala tu wa wanajeshi lakini kitendo ni sifuri
CDF Mkunda.. akifokewa na IGP C Wambura
 
Back
Top Bottom