Eti eeh! Unazitoa wapi maana wewe una kambavu kamoja tuZikivunjika huwa natoa za ziada mkuu endelea kuburudika
Nani apike. Mimi ningeenda zangu bar kumaliza shida zangu. Alaagh!!
Kwa jinsi alivyoungua hivyo unaweza sema ni mkaaHahaha itakuwa naona
sasa umeamua kuyafikisha huku..?
utambulisho upi tena..?Nimeyaleta wana jukwaa waone miss younakutafuta kule kwa utambulisho mbon sikuoni