Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,374
- 72,891
Nimeongea na rafiki yangu Mtanzania anayeishi na kufanya kazi Ofisi za World Vision Nairobi na kanieleza jinsi Wakenya makini ndani ya serikali na sekta za kibiashara walivyokuwa wakifuatilia Uchaguzi wa wabunge wa EALA.
Kwa Maelezo yake Uchaguzi umewafurahisha hasa kwa vile ambavyo hatukua makini na wamejipongeza kuwa hakuna tishio kwao.
Kasema Wakenya wanajua hoja kubwa watakayo kuja nayo wabunge wetu ni matumizi ya kiswahili ndani ya jumuia lakini hoja za kutetea uchumi au sheria hamna kitu. Watu wamegongeana glass humo Nairobi.
Jee aibu hii nani kaileta? Na tunaondokaje huko na kuweza kupata watu wakutupigania kama taifa?
Hivi kweli kwenye Mashindano ya ndondi Heavyweight championship waweza peleka bondia wa fly weight?