miafrika banah sijui ikoje!..huo ni umaskini au we ni le mbebez mwalimu!...tatizo mnalala gest za maskini. Nenda lodge ya maana afu lala presidential suite uone kama utapata hayo majangaz!!
Duh pole sana kwa yaliyokukuta ila ingekuwa mimi nilivyombishi ningewaambia police wanipeleke mahakamani
Sasa la pili nyie mlikuwa mtu nne yaani wewe,mkeo,mteja mwezio na jamaa yako wa tabaro mlishidwa vipi kusimama kidete kupigania haki yenu?
Mlishidwa vipi kumtia dogo adabu hata makofi??
Kuna siku niliingia kwenye hiace abiria mwanamke akafungukua kioo cha hiace kumbe kilikuwa kama kimetegeshswa kikamwagika chini kodda na dreva wakakomaa huyo dada alipe abiria wote tuliungana kumtetea na hakukipa kitu na tukamwabia huyo dada ashuke kituo kilichofuata achukue hiace nyingine na kesi ikaishia hapo
Taja jina la hotel Ili iwe fundisho...........inawezekana mmiliki pia yupo humu.........
siku nyingine nenda Zanzibar kale upepo na wife.......kule watu wamezoea utalii.........
Ndiyo mkuu mojawapo ya sababu za backwardation ni hiyo. Mhudumu anakuwa ahjui wajibu wake na pia hana customer care unafikiri pana maendeleo hapo?
Taja jina la hotel Ili iwe fundisho...........inawezekana mmiliki pia yupo humu.........
siku nyingine nenda Zanzibar kale upepo na wife.......kule watu wamezoea utalii.........
Hapana mkuu......ni katika hali ya kuwa karibu na eneo la stendi.......Kwa taarifa tu kwa tabora hata hoteli iwe kubwa kiasi gani uelewa wa watu wa Tabora unafanana.
Sasa hapo ni wewe umeona Tabora kwa nini iko nyuma na kwetu sie tulioko ughaibuni huwa tunaiona Tanzania kwanini iko nyuma "Poor customer care" kuanzia airport hadi sehemu zote.
MIAFRIKA NDIVYO ILIVYO- NN
Hili jambo kaka ni muhimu utaje hiyo hotel yasije yakatukuta,pia tukatumia silaa tulizo nazo kihalali kumpekekanmtu kuzimu.Hilo jambo ni muhimu kabisa kutaja tujiepushe na hiyo hotel kama ukoma.Kwanza naomba mnipe madhara ya kuitaja ama kutoitaja isije mada hii ikafutwa. kama mkinihakikishia kuitaja nitakuwa sijafanya makosa sasa hivi naianika hadharani.