Yaliyonikuta na Basi la Kilimanjaro Express

Mkuu nalalamiko tako nimeyaookea. Kimsing yanamashiko makubwa.
Nakuahidi tutayafanyia kazi.
Usituchoke.
Klm tunakujali
 
Dar Arusha panda haya
1. BM coach
2. Abood mpya
3. Marangu coach
4. Extra Luxury coach
5. Tilisho safaris
6. Esther
7. Kidia one

Nje ya hapo usijekulaimu mtu hata ukifika kesho yake
Nje na hapo usije kulaumu mtu [emoji16]
 
BM kuna sehemu anakwama kwenye kuongeza siti maana hata DTP series ziliongezwa siti nne baadhi ya gari
 
[emoji1787]
Hiyo BM DXN. Kuna moja nilipanda siti zimebanwa kama daladala za kwenda kange kasera. Walisema ni luxury, hata kiyoyozi hakijawashwa tuna kazi ya kujifuta jasho tu. Humo ndani ni biashara zinaendelea kama kariakoo. Hujakaa vizuri kapita wa biskuti, ukigeuka hivi kapita wa korosho, ukinyoosha mguu kaingia wa machungwa ya kuonja na kununua. Vurugu tu, mnaingia hotelini dakika 10 ni pale dereva anapomaliza kula. Uluxury pekee niliouona kwenye BM siku hiyo ni kutokupakiza wale watu wa dawa za promotion na kusimamisha abiria.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Inasimama kila kituo na kupakia abiria tofauti yake na dalala ni ukubwa wa umbo la gari Ila huduma ni kama daladala tu.
 
Imeondoka saa ngapi dar

Hii huwa inaondoka saa 1100 alfajiri. EBL&DXN zinabadilishana. Ila BM nilishawahi ondoka na la 1150 alfajiri nikaingia chuga 1414 mchana. Enzi hizo ni full wifi njia nzima. Now hawana wifi wala vinywaji. Ila ndi kampuni ninayosafiri nayo kwa route zao zote. Nikibadili basi, ujue hiyo route BM haipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…