Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,341
,Leo asubuhi mida ya saa tatu asubuhi wakati nalala nilivamiwa,nikasikia sauti yao nikaona wanakuja,nikaamka toka usingizi gafla,moja akanifuata akitaka kunivamia,kwakuwa huwa nalala na silaha sikuwa na jinsi yoyote ya kujisaidia bali nijilinde,aliponifuata wa kwanza nikamwahi nikamtandika,nikamtandika tena,mpaka akaunguka chini na kuzimia,wa pili akaja tena nilishindwa kumwahi tukazungushana humo ndani kwa mda,huku majirani zangu wakiwa wanasikia kelele,nikabahatika kumpiga,aliumia ingawa aliendelea kuzikwepa,nikampiga mfululizo naye akaanguka chini,kuangalia mikono yangu nikaona dam,sikuamini mi ndo nimeua,nikamwona moja anajaribu kuamka,nikamwahi nikamtandika naye akafa hapo hapo,yaani kwa ujumla ndo nilivyopambana na mbu waliojaribu kuninyonya damu.