Nimecheka sana mkuu!! Sio kiislam sema kiarabu na kuna tofauti kubwa kati ya uarabu na uislam na Poa niambie kuna utamaduni na imani, waafrika wengi hudhani kwamba uislam and ni pamoja na utamaduni wa kiarabu! Au ukristo ni pamoja na kuvaa kizungu yaani suti na tai! Ni mada nndefu inahitaji uzi wake