TANZANNIA
JF-Expert Member
- Sep 29, 2015
- 1,047
- 385
Mimi ni mfanyakazi,jana niliingia shift ya saa nane mchana na kutoka saa nne usiku.Mida ya saa nne na robo nikawa niko home,baada ya kula na kuoga,nikapanda kitandani kulala,maajabu nikashituka muda wa saa tisa usiku baada ya kusikia mbu wananiuma,kuangalia nikajikuta niko dining room juu ya meza ya chakula.
Hadi sasa sielewi nini kilinipata hadi kuwa pale.Sijafanya maamuzi yoyote mpaka sasa kama kwenda kwa mganga au kuombewa,lakini niko safi wala hamna panapouma wala nilipochanjwa!
Naomba mawazo yenu wanaJF.