Yaliyonikuta jana jioni

Relax man wewe ni mtakatifu?
hutendi dhambi?

hakuna aliyemsafi. Kwan ukitenda upuuzi kama huu lazma ulete jukwwaan?? Kwan angekaa kmya angeathirka nn?? Nimejawa na hasira gafla aiseee
 

Wewe niMzinzi kama wazinzi wengine, HELL ipo kwa ajili ya watu kama nyie
 
Eti manuu, ulitaka tujifunze nini kwenye hii thread kaka?

labda atupe jibu kwasababu sielew alichofikiria mpaka kuleta upuuzi huu. Au anataka tujue na yeye ni rijali?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mr Rocky nasubiria labda episode ya pili inaweza ikawa na funzo. Hapa nimeona tu yafuatayo:

1. Anataka kutuaminisha ukikutana na x wako kukumbushia ni lazima.
2. Anatuonesha hatuna nia za dhati kwa tunayoyafanya (fikiria umetoka nyumbani unaenda kusikiliza neno la Mungu, then ukakata kona kwenye uasherati)
3. Anataka kuonesha shetani ana nguvu .... kikweli shetani ni m.p.uuzi tu)
4. Anataka pia kuonesha hatuna uwezo wa kujizuia kihivyo linapokuja swala la uasherati
5. Anataka pia kuonesha Ndoa haiheshimiki hiviiile
6. Anataka kuonesha pia Hofu ya Mungu imepungua sana kwa waumini siku hizi (waumini wametoroka mkutano wa injili)
7. Anataka kuonesha pia ngono haiepukiki usipochukua hatua ya ziada.
8. Anataka kuonesha pia usipoamsha vilivyolala haiamki vyenyewe... alipokumbushia vya zamani vikaamsha vipya
.....
.....
Tized hii habari inatufundisha nini
 
Baada ya hapo hukujutis kumsaliti mkeo!
 
Lovely.... I cant wait....

Thats aside, Beyond reasonable doubt... I am the man in your signature..... Keep the passion burning....

He he he uuuh nipunguzie kipimo jameni
ntanyetuka buree mchana wa jua kali hili
 
Kuna watu mna ulemavu wa akili...

Sijui thread yako ina mafunzo gani kweli, sijui umeiweka tu kujisifia....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…