Yaliyonikuta jana jioni

Hahahaa. Aisee! Ni hatareeee!!!

Sema kuna wakati mwingine shetani huwa tunalisingizia sema tu lilivyo lijinga haliwezi kukanusha linajichukkulia tu maujiko.

Unajua maandiko yanasena katika kitabu cha Yakobo "Mtu hujaribiwa na TAMAA yake mwenyewe, nayo tamaa ikiishachukua mimba huzaa dhambi, nayo dhambi ikishakomaa huzaa mauti"

Kwa hiyo lishetani lingekua JF lazima lingeshatoa karipio kali lisihusishwe kwenye hili tukio tatanishi la kumtoa mtu ibadani akangonoke.
 

Naona umeamua kumchania mistari.
 
Kila mla cha mwenzie na chake huliwa, poleni sana, ukimega mke wa mwenzio jua na wako anamegwa!

not necesary, unaweza ukamega mke wa mwenzio na wako asimegwe na vile vile unaweza usimege (usichepuke) na still ukamegewa wako.
 
Mmmmhhh namna hii hili gonjwa halitakaa liishe . Yaani umeenda kwenye semina na huyo dada ukamkuta seminani na mahubiriiii yooooote bado mkaenda kufanya yenu . Sasa nimeamini mikutano haisaidii watu kubadilika kama ingekua inasaidia basi dar tungeishi kama mji mpya wa mbinguni.
 
Hilo nalo neno Mkuu "Kazi tunayo",
akumbuke wapi kwenye mazingira ya kila kitu fasta?
 

Kweli kabisa, na siku hizi kuna kamsemo tunasemaga YAANI NI SHETANI TU, Hapo jiulize huye shetan alikufunga kamba? Kweli ni kwa neema tu
 
Hivi ndo vitu vinanifanya nisioe. Eti kwenye neno la Mungu, mnaenda kuzini ptuuuu. Ujinga mtupu. Kukumbushia enzi my foot.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Sasa kapimeni UKIMWI.

Hayo kwa nyinyi wala hatuoni ajabu ikiwa wachungaji wanabandua mpaka kondoo wachanga sasa nyinyi kondoo mliokubuhu tutegemee ni zaidi ya kuambukizana magonjwa ya zinaa?

Umesahau na walimu wa madrasa nao ni wabakaji nambari wani. Faiza Foxy!!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mungu aniepushe kabisa na dhambi ya kutembea na mke wa mtu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…