Wiki hii siku ya Jumanne majira ya saa 10 usiku, nilipigiwa simu kwa namba ya 555! Sikuipokea baada ya kuangalia muda wa simu ile uliopigwa. Nikapata wasiwasi mkubwa nitamwomba Mungu sa usiku ule.mchana wa siku iliyofuata sikuwa na amani.
Lakini jana usiku nilipigiwa tena muda ule ule, nikajitoa ufahamu nikapokea. Nilipata amani moyonibaada ya Kusikia sauti tamu ya wanadada wa kampuni ya Tigo. Hadi sasa Nina amani kumbe ni watu wa Tigo. Kwenu mnaopigiwa simu usiku na namba hiyo msiwe na hofu. Mnaweza kujiridhisha.
Kwa hiyo kilichokufarahisha zaidi ni kusikia tu sauti tamu tu ya wanadada wa tigo?Wiki hii siku ya Jumanne majira ya saa 10 usiku, nilipigiwa simu kwa namba ya 555! Sikuipokea baada ya kuangalia muda wa simu ile uliopigwa. Nikapata wasiwasi mkubwa nitamwomba Mungu sa usiku ule.mchana wa siku iliyofuata sikuwa na amani.
Lakini jana usiku nilipigiwa tena muda ule ule, nikajitoa ufahamu nikapokea. Nilipata amani moyonibaada ya Kusikia sauti tamu ya wanadada wa kampuni ya Tigo. Hadi sasa Nina amani kumbe ni watu wa Tigo. Kwenu mnaopigiwa simu usiku na namba hiyo msiwe na hofu. Mnaweza kujiridhisha.
Wiki hii siku ya Jumanne majira ya saa 10 usiku, nilipigiwa simu kwa namba ya 555! Sikuipokea baada ya kuangalia muda wa simu ile uliopigwa. Nikapata wasiwasi mkubwa nitamwomba Mungu sa usiku ule.mchana wa siku iliyofuata sikuwa na amani.
Lakini jana usiku nilipigiwa tena muda ule ule, nikajitoa ufahamu nikapokea. Nilipata amani moyonibaada ya Kusikia sauti tamu ya wanadada wa kampuni ya Tigo. Hadi sasa Nina amani kumbe ni watu wa Tigo. Kwenu mnaopigiwa simu usiku na namba hiyo msiwe na hofu. Mnaweza kujiridhisha.
Wiki hii siku ya Jumanne majira ya saa 10 usiku, nilipigiwa simu kwa namba ya 555! Sikuipokea baada ya kuangalia muda wa simu ile uliopigwa. Nikapata wasiwasi mkubwa nitamwomba Mungu sa usiku ule.mchana wa siku iliyofuata sikuwa na amani.
Lakini jana usiku nilipigiwa tena muda ule ule, nikajitoa ufahamu nikapokea. Nilipata amani moyonibaada ya Kusikia sauti tamu ya wanadada wa kampuni ya Tigo. Hadi sasa Nina amani kumbe ni watu wa Tigo. Kwenu mnaopigiwa simu usiku na namba hiyo msiwe na hofu. Mnaweza kujiridhisha.
Naipenda JF
Mlielewana kweli??? Nakumbuka vizuri hukuwa na ufahamu("ulijitoa ufahamu na kupokea")