yaliyonikuta baada ya kupokea namba 555

yaliyonikuta baada ya kupokea namba 555

DOOKY

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
370
Reaction score
50
Wiki hii siku ya Jumanne majira ya saa 10 usiku, nilipigiwa simu kwa namba ya 555! Sikuipokea baada ya kuangalia muda wa simu ile uliopigwa. Nikapata wasiwasi mkubwa nitamwomba Mungu sa usiku ule.mchana wa siku iliyofuata sikuwa na amani.
Lakini jana usiku nilipigiwa tena muda ule ule, nikajitoa ufahamu nikapokea. Nilipata amani moyonibaada ya Kusikia sauti tamu ya wanadada wa kampuni ya Tigo. Hadi sasa Nina amani kumbe ni watu wa Tigo. Kwenu mnaopigiwa simu usiku na namba hiyo msiwe na hofu. Mnaweza kujiridhisha.
 
tatizo unaamini bila kuona. Umepokea simu, ukasikia sauti ya kike inasema hapa ni tigo customer care basi wewe tayari unakubali kirahisi tu. Una uhakika gani zaidi ya kusikia sauti tu? kama wewe umepokea imekula kwako mkuu. pole sana. usitafute support kwa wengine.
 
Wiki hii siku ya Jumanne majira ya saa 10 usiku, nilipigiwa simu kwa namba ya 555! Sikuipokea baada ya kuangalia muda wa simu ile uliopigwa. Nikapata wasiwasi mkubwa nitamwomba Mungu sa usiku ule.mchana wa siku iliyofuata sikuwa na amani.
Lakini jana usiku nilipigiwa tena muda ule ule, nikajitoa ufahamu nikapokea. Nilipata amani moyonibaada ya Kusikia sauti tamu ya wanadada wa kampuni ya Tigo. Hadi sasa Nina amani kumbe ni watu wa Tigo. Kwenu mnaopigiwa simu usiku na namba hiyo msiwe na hofu. Mnaweza kujiridhisha.

Mmmh hapa kuna kitu mzee sasa uliogopa nn kwan nawe uko kwa list ya escrow kwamba unatafutwa uhojiwe
 
Wiki hii siku ya Jumanne majira ya saa 10 usiku, nilipigiwa simu kwa namba ya 555! Sikuipokea baada ya kuangalia muda wa simu ile uliopigwa. Nikapata wasiwasi mkubwa nitamwomba Mungu sa usiku ule.mchana wa siku iliyofuata sikuwa na amani.
Lakini jana usiku nilipigiwa tena muda ule ule, nikajitoa ufahamu nikapokea. Nilipata amani moyonibaada ya Kusikia sauti tamu ya wanadada wa kampuni ya Tigo. Hadi sasa Nina amani kumbe ni watu wa Tigo. Kwenu mnaopigiwa simu usiku na namba hiyo msiwe na hofu. Mnaweza kujiridhisha.
Kwa hiyo kilichokufarahisha zaidi ni kusikia tu sauti tamu tu ya wanadada wa tigo?

Mmh.... isije kuwa ukawa una pepo wa ngono?
 
Wiki hii siku ya Jumanne majira ya saa 10 usiku, nilipigiwa simu kwa namba ya 555! Sikuipokea baada ya kuangalia muda wa simu ile uliopigwa. Nikapata wasiwasi mkubwa nitamwomba Mungu sa usiku ule.mchana wa siku iliyofuata sikuwa na amani.
Lakini jana usiku nilipigiwa tena muda ule ule, nikajitoa ufahamu nikapokea. Nilipata amani moyonibaada ya Kusikia sauti tamu ya wanadada wa kampuni ya Tigo. Hadi sasa Nina amani kumbe ni watu wa Tigo. Kwenu mnaopigiwa simu usiku na namba hiyo msiwe na hofu. Mnaweza kujiridhisha.

Dah, Tanzania tuna shida kubwa ana ya afya ya akili
 
Ha haaaaa. afadhali umetupa kitu chenye test tofauti
 
mwenyewe walinipigia wakawa wananiuliza kwa nin watu hampokei hiyo namba
 
Mlielewana kweli??? Nakumbuka vizuri hukuwa na ufahamu("ulijitoa ufahamu na kupokea")
 
QUOTE=Mgoda simtwange;12211524]tatizo unaamini bila kuona. Umepokea simu, ukasikia sauti ya kike inasema hapa ni tigo customer care basi wewe tayari unakubali kirahisi tu. Una uhakika gani zaidi ya kusikia sauti tu? kama wewe umepokea imekula kwako mkuu. pole sana. usitafute support kwa wengine.[/QUOTE]

Kula kwangu kivipi? Hakuna baya lililonipata
 
Back
Top Bottom