Yaliyonifanya niache kununua 'Dada Poa'

Nlikutana na shoo moja hivi buguruni pale kifupi flani hivi kimejaajaa wazee.. Nkazama ndani nkalipa asee!!! Heeh akaipaka mafuta Kuja kuweka nkapwaya mazimaaa.. Ruka ruka na wewe wapiiiiii, ananiuliza "bado tu mzee baba"!? Doh! Sijawh kutana na shimo Kama Ile mimi
 
Kimsingi kama una akili ya kibinadamu na huongozwi na pepo la Ngono. Huwezi nunua hao wanawake. Katika ujana wangu kabla Mungu hajaniokoa nilitumikishwa sana na Pepo la Ngono na kununua hao watu ila kuna siku nilijisikia vibaya. Morogoro niliendaga Chimbo Moja nikakuta Mama ana katoto kachanga. Amekalaza kitandani alafu anataka anihudumie. Nikasema hata kama nina pepo la ngono ila siwezi fanya hivi. Hii ni kumbukumbu mbaya zaidi katika maisha yangu. Mungu atusaidie kwa kweli. Kwa jinsi ya kibinadamu, huwezi nunua wale watu ila ni pepo la ngono ndio huwa linatumikisha.
Mtu analala na wanaume zaidi ya 6 kwa siku dah ila inahitaji moyo sana kufanya hivi
 
Na inafanywa kwasababu ya umasikini sio mapepo kama wengi wanavyodhani, wengi wanafanya kujiingizia kipato
Sio sahihi. Kuna njia nyingi za kutafuta pesa sio mpaka kujiuza. Wengine hawana uchumi mzuri na wanauza hadi mihogo, ndizi na kulinda utu wao. Kimsingi kwa mwanaume na mwanamke. Kama huna pepo la ngono na ukahaba huwezi fanya hivyo vitu. Sio kujiuza wale kununua. Bro tumepita huko. Tulikuwa tunanunua ila sasa unaweza hivi nilikuwa nafanya nini?

Hivi nitaanzia wapi kununua hao watu. Yaani mwanamke analalwa na wanaume 20 kwa siku nawe inalala naye. Kwa jinsi ya kibinadamu ni kazi sana kujiuza na kununua mkuu.
 
Suluhisho la hali hii ni kwenda umezima data kabisa umepiga zako k-vant

Nakazia hili, mimi bila kula k vant kitu hakisimami kamwe, kinakuwa kinaniuliza unataka niingie kwenye hilo shimo chafu hivyo, dawa ni kuzima data
 
Back
Top Bottom