Yaliyomtokea Whitney yasiwatokee kina Lady Jay Dee!

Gary Speed's death has left me helpless and I don't know what to do, says devastated Alan Shearer

Twenty-four hours after a death that he may never be able to comprehend, Alan Shearer was still helpless with grief. "I don't know what to do. I feel numb. I can't go out," he said, thinking of his dear friend, Gary Speed.

shearer_2069162b.jpg


On the field, the lines were clear: "He was everything the game is about. Hard work and dedication. He would have been a manager's dream." But what did the football matter now? "I just keep coming up with the same question: why? Why didn't he call me, why didn't he say anything on Saturday, if something was bothering him?"

http://www.telegraph.co.uk/sport/fo...-what-to-do-says-devastated-Alan-Shearer.html
 
Ningekuwa na majibu nisingeleta hii mada hapa kwa jinsi nilivyoileta - ningeweka prescriptions A, B, C za kuwasaidia full stop.

Huna hata idea ya huo msaada unachojua ni kuwa sasa tunawashabikia tu. I see
 
Huna hata idea ya huo msaada unachojua ni kuwa sasa tunawashabikia tu. I see

siwezi kukulazimisha uone vitu ambavyo hutaki kuviona japo uwezo na sababu ya kuviona unayo - ideas zimejaa tele kwenye hizo posti hapo juu (kujali, kuwa sensitive, kutowasakama tu bila kujua msongo wanaoupitia n.k, msaada huanza na mtu mmojammoja)!
 
Tuacheni kuwahukumu watu, sisi wote ni binadamu na hakuna mkamilifu. R.I.P Whitney H.
 
siwezi kukulazimisha uone vitu ambavyo hutaki kuviona japo uwezo na sababu ya kuviona unayo - ideas zimejaa tele kwenye hizo posti hapo juu (kujali, kuwa sensitive, kutowasakama tu bila kujua msongo wanaoupitia n.k, msaada huanza na mtu mmojammoja)!

Mkuu wewe si ndo ulosema hujui tuwasaidieje or else ungeandika?

Itakuwa sikukuelewa vyema, kumradhi.

I pledge to be kuwa sensitive, kujali, kutowasakama bila ya kujua msongo walio nao.

I pledge msaada kuanzia kwa mtu mmoja, Gaijin
 
Mkuu wewe si ndo ulosema hujui tuwasaidieje or else ungeandika?

Itakuwa sikukuelewa vyema, kumradhi.

I pledge to be kuwa sensitive, kujali, kutowasakama bila ya kujua msongo walio nao.

I pledge msaada kuanzia kwa mtu mmoja, Gaijin

shukrani, sasa tupange mikakati ya pamoja kama jamii/nchi

ps. AA imefanikiwa kwa kiasi gani tanzania?
 
KUNA UHUSIANO MKUBWA KATI YA ULEVI WA POMBE NA WA MADAWA YA KULEVYA - PATA MSAADA HAPA:

welcom_text.jpg
If you seem to be having trouble with your drinking, or if your drinking has reached the point where it worries you a bit, you may be interested to know something about Alcoholics Anonymous and the A.A. programme of recovery from alcoholism. After reading this brief outline, you may decide that A.A. has nothing to offer you. Should this be the case, we suggest only that you keep an open mind on the subject. Consider your drinking carefully in the light of what you learn from this website. Determine for yourself, whether or not alcohol has truly become a problem for you. And remember that you will always be most welcome to join the thousands of men and women in A.A. who have put their drinking problems behind them and now lead "normal" lives of constructive, day-by-day sobriety.

KWA TAARIFA ZAIDI TEMBELEA: AA Tanzania
 
companero watu wenye akili hawawezi kuwasema hawa stars, ila njaa ya pesa inapelekea waandishi kuandika lolote lile wauze habari zao

waandishi ndio walimuaa michael, whitney,...
 
companero watu wenye akili hawawezi kuwasema hawa stars, ila njaa ya pesa inapelekea waandishi kuandika lolote lile wauze habari zao

waandishi ndio walimuaa michael, whitney,...

NAKUBALIANA NA WEWE 99%. THATS TRUE. Na ndio wanataka kuwaangamiza JayZ na Beyonce kwa kuwapa kashfa ambazo hazina kichwa wala miguu mpaka kuwatengenezea Cd. MUNGU mwenyewe ndiye anayejua nafsi ya mtu.
 
salaam.

Naomba tupange na tutekeleze mikakati ya kuwakinga wasanii wetu maarufu kama lady jay dee, mwasiti, wema, diamond na professor jay na hizi zahama zinazopelekea kukumbana na mauti ilhali mtu bado ni kinda tu. Kinga ni bora kuliko tiba. Hebu sikiliza maneno haya ya whitney houston kuhusu yeye na michael jackson alipohojiwa na oprah winfrey - na jipange sasa:

bonyeza whitney houston

tulia. Tafakari. Chukua hatua.
angalieni mambo yenu ya hovyo kwanza ndio mnyooshee wengine vidole, nyie angalieni hatua zenu mnazopita ni hatari zaidi ya hayo ya wenzenu... Uzinzi, nk
 
Hilo ndilo jina la kisanii linalokubalika, mwanamama yuko fiti ila inabidi tumsaidie badala ya kumsakama kama alivyosakamwa Whitney!
Kwanza kumlinganisha whitney na judth wambura sio sahihi,
Huyu wetu alifeli siku aliyoanza,whitney hakupora ndoa ya mtu,huyu JW amepora kijana kama binti yule aliyekuwa mtangazaji,
Whitney aliolewa kwa ndoa halali ilikuwa ni kosa tu la bobby brown kumuingiza kwenye madawa yakulevya hadi kumporomosha kiwango chake cha uimbaji.na hatimae mauti yake.
 
naskia whitney kwao kabosa ni hannang

Lamaa...Unazingua MTM

WH is responsible for her own death. Hata kama Bobby alimuingiza kwenye hayo mavitu ila na yeye alikuwa ni adult so alijua anachokifanya. She had the best voice!!
 
Mie kila nikijaribu kuwaza na kuwazua hivi mpaka unafikia kuharibikiwa kabisa ,
wako wapi watu wa karibu kukusaidia
wako wapi ndugu jamaa marafiki
Wako wapi baba na mama...
lah ...
 
Mkuu kumbe haya maneno ni ya kweli? Napata shida kidogo, huu wimbo ni moja ya nyimbo zake zilizotokea kupendwa sana na kwa maana hiyo aliuza sana hapo. So, hizi zahama in another side zinawatengenezea mpenyo wa kutengeneza pesa pia!

zahama wanazozianisha katika nyimbo zao - mfano wimbo huu:

Mmmh ad lib
Aiya ya ya ya....
Chorus
Yote mlosema, mlotenda, nasahau, nasonga mbele
Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona
Mmmh liosema
Aah nasonga mbele
Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona
Eh nimesemwa sana jamani, Hamchoki?
Repeat Chorus
Verse 1
Nadhani hamyajali maumivu yangu moyoni
Na wala hampendi kwangu yatokee mazuri
Hata nisiowategemea, leo hii mmenigeuka
Hata nilio waheshimu, leo hii mnanihukumu
Kila mtu ana dhambi, msijihesabie haki
Kusemwa semwa sitaki, hakuna alie msafi
Repeat Chorus
......
© Lady Jaydee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom