Yaliyomtokea Whitney yasiwatokee kina Lady Jay Dee!

Companero

Platinum Member
Jul 12, 2008
5,604
1,704
Salaam.

Naomba tupange na tutekeleze mikakati ya kuwakinga wasanii wetu maarufu kama Lady Jay Dee, Mwasiti, Wema, Diamond na Professor Jay na hizi zahama zinazopelekea kukumbana na mauti ilhali mtu bado ni kinda tu. Kinga ni bora kuliko tiba. Hebu sikiliza maneno haya ya Whitney Houston kuhusu yeye na Michael Jackson alipohojiwa na Oprah Winfrey - na jipange sasa:


Bonyeza Whitney Houston

TULIA. TAFAKARI. CHUKUA HATUA.
 
Jina lake Judith Wambura. Kwanini anajiita Lady Jay Dee? Kwanini asijiite JWTz?

Hilo ndilo jina la kisanii linalokubalika, mwanamama yuko fiti ila inabidi tumsaidie badala ya kumsakama kama alivyosakamwa Whitney!
 
Msongo ndio nini tena? Mnafanya kiswahili kiwe kichina. Anyway, vipi ulisoma hile paper ya Qwaray Lawi? au ndi wewe?

Kwani hujui maana ya kusongwa? Lawi wa UD? Pepa ipi - inahusu wafugaji?
 
Yakiwakuta poa tu. Wakiondoka wengine wanakuja. Kwanini kulewa umaarufu wa shilingi mbili? Ni suala la kuacha ulimbukeni na kuiga iga mambo ya kipuuzi badala ya yale ya maana. Whoever does not want to listen and learn then get ready to perish simply foolishly.
 
Yakiwakuta poa tu. Wakiondoka wengine wanakuja. Kwanini kulewa umaarufu wa shilingi mbili? Ni suala la kuacha ulimbukeni na kuiga iga mambo ya kipuuzi badala ya yale ya maana. Whoever does not want to listen and learn then get ready to perish simply foolishly.

mkuu umewahi kupata msongo? balaa lake sio dogo! hata kupiga mswaki unaona kama ni kupanda mlima kilimanjaro-tusaidiane.
 
Sijuhi maana ya kusongwa. Ameandika hii paper:TANZANIA'S OPERATION VIJIJI AND LOCAL ECOLOGICAL CONSCIOUSNESS: THE CASE OF EASTERN IRAQWLAND, 1974–1976
 

Attachments

  • 2-15-2012 9-22-54 PM.jpg
    2-15-2012 9-22-54 PM.jpg
    27.5 KB · Views: 77
[Houston told Winfrey that his passing was "devastating"...With her voice shaking, the troubled songstress added, "I thought, 'This can't be true. This can't be true.' I knew he was on painkillers at one time. I didn't know how far and how deep it was."...Houston recalled taping Michael Jackson's 30th Anniversary Celebration with the King of Pop in 2001. Both stars appeared extremely frail at the event. The singer remembered looking at Jackson and then looking at herself. "I was getting scared," she admitted. "I was looking at myself going, 'No, I don't want this to be like this. This can't happen. Not both of us.'"] - Whitney Houston
 
Sijuhi maana ya kusongwa. Ameandika hii paper:TANZANIA'S OPERATION VIJIJI AND LOCAL ECOLOGICAL CONSCIOUSNESS: THE CASE OF EASTERN IRAQWLAND, 1974–1976

naskia whitney kwao kabosa ni hannang
 
Sijuhi maana ya kusongwa. Ameandika hii paper:TANZANIA'S OPERATION VIJIJI AND LOCAL ECOLOGICAL CONSCIOUSNESS: THE CASE OF EASTERN IRAQWLAND, 1974–1976

shukrani, hiyo sijaisoma ila nina utafiti wake mmoja kuhusu eneo moja tanzania ambalo lina makundi yote ya binadamu na kuna modeli nzuri ya kujenga amani na kuzuia migogoro ya kijamii
 
ukumbuke kumsoma huyu mwanabrookings hapa chini, anzisha thredi nyingine kuhusu hayo - hapa tufokasi on kuwalinda wasanii wetu!

UDADISI: Rethinking in Action: LONG-RUN EFFECTS OF VILLAGIZATION IN TANZANIA

Nikianzisha thread nitakuwa focus sana wakati siku hizi nipo casual na mambo ya forums. Nitakuwa nafanya sideshows kwenye thread unazokuwepo.

Nitampitia jamaa. Ningependa hizi kazi zianze kuondoka kwenye realm ya academia na kuwafikiria policy makers and technocrats.
 
Maneno haya hapa chini yanaonesha jinsi gani msongo unavyoweza kuwatesa sana watu maarufu ambao tunadhani wana kilu kitu - tuwajali, tuwalinde, tuwapende.

([Veron] admitted that he had suffered his darkest hour saying he "liked to walk alone at night. I seemed like a lunatic.") - Barclays Premier League - ESPN Soccernet

(Guido Erhard tried to write a book. The working title, he said, was: "Truth Be Told - A Life on the Brink". He said the book would "give other people hope and courage". He didn't say it was also a way of coming to grips with his own demons, but he didn't have to."Truth Be Told" was never published, because on a cold, dark and snowy Thursday in February 2002, Erhard hurled himself in front of an incoming high-speed train at Offenbach main station.) - Uli Hesse-Lichtenberger: Chased by the Black Dog - ESPN Soccernet
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom