Yaliyomo kwenye mswada wa kuvibana vyama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yaliyomo kwenye mswada wa kuvibana vyama

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kaitaba, Oct 29, 2009.

 1. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  1.Vyama vya siasa havitatakiwa kuwa na uhusiano na vyama vilivyo nje ya nchi

  2.Kila mgombea hatatakiwa kuwa na biashara

  3. Kila chama kitatakiwa kueleza vyanzo vya mapato yake ktk uchaguzi

  4.Chama chochote hakitakiwi kuomba msaada nje ya nchi

  5. Tshirt, kapelo na kanga havitakiwi kutengenezewa nje ya nchi

  Je wewe una maoni gani?
  Je CCM, itaweza kung`olewa?
  Je vyanzo vya mapato vilivyochukuliwa na CCM mf viwanja vya mpira, majengo nk wakati wa chama kimoja vimeishalejeshwa serikalini?
   
Loading...