Majaribu2013
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 950
- 1,050
If only thîs is a true story....mbona una marafiki wenye majanga ivo?show me ur friend.....!malizia mwenyewe
Hiyo sentensi hapo juu imenichekesha sana!
Dah,hiyo kali
Nitoke vp ili niwe maarufu hiyo.
wakati rafiki yako akifanya hayo yote wewe ulikuwa wapi mpaka ukayaona yote?
Mtu yamekukuta mwenyewe unakuja kumsingizia rafiki yako.
Wakati rafiki yako akifanya hayo yote wewe ulikuwa wapi mpaka ukayaona yote?
Mtu yamekukuta mwenyewe unakuja kumsingizia rafiki yako.
pole kwa maswahibu, sema yamekukuta, sio rafiki yako....
Yan we kila cku majanga! Haijanivutia kiviile!
kwani alikua anafuata macho.. yeye ilibidi aconcetrate na bambucha tu