Yaliyojiri Tunduma: Mikutano ya Kampeni ya Mgombea Urais, Edward Lowassa - Oktoba 17, 2015

Lowassa, basi wamekubali wewe ndio Rais...yaani inatishaa hii hatariiii

Rais ni Lowassa...!!! Yaishe tu...!!
 
Tunduma wameamua kumaliza ubishi...!!
Lowassa ni Rais tayari... no questions..!!
 
Eti wamekesha!!! Watu wametoka sehemu za mbali kuja kuhudhuria huo mkutano hawana pa kulala wameona walale uwanjani wewe unasema wamekesha???

Hao hawana hata hela za guest wakaona walale uwanjani.Usanii mwingine wa Lowasa na timu yake.
Tuna taarifa wengi wametoka hadi mbeya mjini na Kyela kuja tunduma mkutanoni na wa Tunduma wataondoka pia kwenda mbeya mjini kuhudhuria mkutano atakaofanya Lowasa

Shughuli ni watu.
Na watu wenyewe ndo hao.
Nyie magamba hata wakufunga maduka tuu siyo kukesha, mnaooooooooooo:sly::sly:
 
yehodaya wakienda mbeya nis awa kama vile wale waliotoka bukoba na geita kwenda kwa magufuli mwanza nao wataenda anapokwenda. alipo lowassa tupo na ninyi alipo pombe wenu mpo msema kweli oktoba 25 mabadiliko lowassa lowassa mabadiliko
Eti wamekesha!!! Watu wametoka sehemu za mbali kuja kuhudhuria huo mkutano hawana pa kulala wameona walale uwanjani wewe unasema wamekesha???

Hao hawana hata hela za guest wakaona walale uwanjani.Usanii mwingine wa Lowasa na timu yake.
Tuna taarifa wengi wametoka hadi mbeya mjini na Kyela kuja tunduma mkutanoni na wa Tunduma wataondoka pia kwenda mbeya mjini kuhudhuria mkutano atakaofanya Lowasa
 
Mungu mbariki Lowasa mungu ibariki Tanzania. Please usiache kupiga kura mwamasishe na mwenzako aliye kata tamaa. Vote for our president EL
 
Back
Top Bottom