Yaliyojiri RFA jana ucku

Ndugu zangu natumai hamjambo' jana ucku mnamo wa saa 3 ucku ivi, alikuwepo jamaa mmoja anajiita mtumishi wa bwana, yani ilikuwa ivi, alikuwa anapokea cm za watu mbalimbali kupitia redioni na kuanza kuwatajia au kuwatabiria mambo yanayowasibu katk maisha yao, cha kushangaza sasa....! Huyu mtumishi alitoa namba zake za cm ila unapompigia kabla hajakwambia ki2 chochote lazima utume kwanza tsh 20000, je kuna yoyote mwenye details za huyu mtumishi anijuze kabla cjatuma hiyo hela yangu ili nipate utabiri wa maisha yangu yatakavyokuwa hapo bdae? Pls utani ukae pembeni, nawakilisha

Anayejuwa maisha yako ni Mungu, huyo mtu ni mfanya biashara dizaini ya kina Mama Lwakatare na wenziwe kina manabii feki Mwingira, Kakobe. Achana nao, Mungu ndiye kila kitu si hawa watabiri watumiao nguvu za giza.
 
Hivi hii Serikali ipo likizo? wananchi wanaibiwa Serikali ipo kimya kabisa,na hiyo radio free siku hizi hwana mhariri mkuu wa vipindi vyao? siyo kila kitu cha kutangaza katika vyombo vya habari kama radio.Ingekua magazeti ya UDAKU hapo tusinge hoji.
 
kama ukitaka huduma lipia kwani hakuna kitu cha bure sasa hivi kwenye hili dunia.
 
Hivi utajisikiaje ukituma hiyo pesa halafu akakutabiria kuwa mwaka huu utaumalizia jela na huko utapata gonjwa baya na utakufa mwanzoni mwa mwaka ujao? Mungu anamaana kutuficha yajayo
 
Ndugu zangu natumai hamjambo' jana ucku mnamo wa saa 3 ucku ivi, alikuwepo jamaa mmoja anajiita mtumishi wa bwana, yani ilikuwa ivi, alikuwa anapokea cm za watu mbalimbali kupitia redioni na kuanza kuwatajia au kuwatabiria mambo yanayowasibu katk maisha yao, cha kushangaza sasa....! Huyu mtumishi alitoa namba zake za cm ila unapompigia kabla hajakwambia ki2 chochote lazima utume kwanza tsh 20000, je kuna yoyote mwenye details za huyu mtumishi anijuze kabla cjatuma hiyo hela yangu ili nipate utabiri wa maisha yangu yatakavyokuwa hapo bdae? Pls utani ukae pembeni, nawakilisha

Akuna mtu anayeweza elezea ya mbele zaidi ya Mungu na kipindi hicho cha manabii na mitume basi....wambie wakutabirie utakufa lini? Au aseme yeye atakufa lin?
 
Back
Top Bottom