Yaliyojiri RFA jana ucku

Ndugu zangu natumai hamjambo' jana ucku mnamo wa saa 3 ucku ivi, alikuwepo jamaa mmoja anajiita mtumishi wa bwana, yani ilikuwa ivi, alikuwa anapokea cm za watu mbalimbali kupitia redioni na kuanza kuwatajia au kuwatabiria mambo yanayowasibu katk maisha yao, cha kushangaza sasa....! Huyu mtumishi alitoa namba zake za cm ila unapompigia kabla hajakwambia ki2 chochote lazima utume kwanza tsh 20000, je kuna yoyote mwenye details za huyu mtumishi anijuze kabla cjatuma hiyo hela yangu ili nipate utabiri wa maisha yangu yatakavyokuwa hapo bdae? Pls utani ukae pembeni, nawakilisha

Hao ni WEZI maana wanaompigia simu anapanga nao, alikuwa Bukoba BUYEKERA walimfukuza baada ya kumgundua kuwa ni mwizi.
 
ndugu zangu natumai hamjambo' jana ucku mnamo wa saa 3 ucku ivi, alikuwepo jamaa mmoja anajiita mtumishi wa bwana, yani ilikuwa ivi, alikuwa anapokea cm za watu mbalimbali kupitia redioni na kuanza kuwatajia au kuwatabiria mambo yanayowasibu katk maisha yao, cha kushangaza sasa....! Huyu mtumishi alitoa namba zake za cm ila unapompigia kabla hajakwambia ki2 chochote lazima utume kwanza tsh 20000, je kuna yoyote mwenye details za huyu mtumishi anijuze kabla cjatuma hiyo hela yangu ili nipate utabiri wa maisha yangu yatakavyokuwa hapo bdae? Pls utani ukae pembeni, nawakilisha
huyo mungu anayemtumikia si huyu alietuumba.... Kama kweli unamjua mungu huna haja ya kutabiriwa yajayo bali kitabu kitakuongoza.......
 
aisee ukishayajua ya badae yatakusaidia nn? kama ni utabili nikuambie tu utakatwa mikono kwa kuiba elfu ishirini aiseee
 
Watu wa Mungu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
Hiyo elfu 20 toa sadaka kisha umkabidhi yeye njia zako na hakika utabarikiwa ktk mambo yote.
What if huyo mtabiri akikuambia next year utakufa,je ana uwezo wa kuishinda mauti?? Hawezi maana hata yeye atakufa.
Mtegemee Mungu achana na binadamu naye ni tegemezi kama wewe.
 
Kam aunahitaji mawasiliano yake si uwatafute RFA kupitia namba zao za simu...
 
Ndugu zangu natumai hamjambo' jana ucku mnamo wa saa 3 ucku ivi, alikuwepo jamaa mmoja anajiita mtumishi wa bwana, yani ilikuwa ivi, alikuwa anapokea cm za watu mbalimbali kupitia redioni na kuanza kuwatajia au kuwatabiria mambo yanayowasibu katk maisha yao, cha kushangaza sasa....! Huyu mtumishi alitoa namba zake za cm ila unapompigia kabla hajakwambia ki2 chochote lazima utume kwanza tsh 20000, je kuna yoyote mwenye details za huyu mtumishi anijuze kabla cjatuma hiyo hela yangu ili nipate utabiri wa maisha yangu yatakavyokuwa hapo bdae? Pls utani ukae pembeni, nawakilisha

Naomba namba za huyo mtu tafadhali
 
Mwenye uwezo wa kutabiri na ikawa ni mmoja tu. Atupaye pumzi bila malipo na kutufanya tuione siku inayofuata. Hawa wengine ni majizi tu
 
Back
Top Bottom