Ha ha ha, sio wote hapa tuna akili za kushikishwa. Mbona unaleta lugha za matusi?We jinga kabisa,maandiko yako hapa ndani yanaprove bila shaka
Zile details za Rutunga naona mods wanazitoa tu..... Kweli hili jukwaa limeingiliwa aisee!
TBC CCM, wanatangaza ya ccm na twaweza tu. Taarifa saa mbili. Hakuna Ukawa wala ACT. TCRA mmekosa meno.
HEBU tupia ka picha mwee..
jamani eti kweli huyu ana asilimia 25%kichefu chefu utafiti mwingineHili ni balaa la Lowassa lililoikumba Masasi jioni hii. Tafiti zinatofautiana kabisa na muitikio wa hali halisi ya wananchi huko field. Hiki ni kichekesho. Tukutane October. Masasi wamesema Wapo Tayari. Lowasa ametingisha vya kutosha Leo huko
============================
Wapiga kura waliojiandikisha milioni 24,, waliohojiwa na Twaweza ni 1848, .. tukutane october tuwaonyeshe tafiti za wananchi.. í-½í¸€í-½í¸€
Utafiti wa TWAWEZA umewaambia siyo kila king'aacho ni dhahabu!
Siyo kila wanaohudhuria kwenye mikutano yenu watawapigia kura.
Mgombea mwenyewe anaongea dakika tatu. Unadhani watanzania wengi hawafahamu gharama ya muda wanaoupoteza kutaka kusikiliza Sera na Ilani kutoka kwa mgombea halafu badala ya kuwaeleza Sera na Ilani, anaishia kusema wampe kura.
Yaani yeye anataka wananchi wampe kura bila wao kuelewa atakachowafanyia. Kura ni mkataba.
Endeleeni kupiga kelele na kushangilia ''nyomi'' lakini pia jiandaeni kisaikologia kupata knockout ya kisiasa kutoka Magufuli.