Yaliyojiri Mkutano wa Kihistoria wa CHADEMA Mwanza, Ulirushwa live kwenye TV na Radio

attachment.php


Mkutano wa Kihistoria Mwanza ambao haujawahi kutokea tangu enzi za Mwalimu By: MwanaDiwani;

attachment.php
Lembeli kaingia mitini: @ Kanone; usilale bila kunywa maji ya kutosha. Bado tunakuhitaji.Tangu Magufuli atangazwe kugomea uraisi kwa ticket ya CCm , Mikutano ya CHADEMA haina watu kabisa By Mr Emmy;

attachment.php
 
Ni nooma mkuu wameumbuka kwa yoote,ile waliyosema hawajaona wingi wa watu mwanza kama siku ya kumtambulisha magufuli,leo ndio wameshuhudia kimbunga na jinsi wana wa mwanza wanavyo ipenda cdm na kuichukia ccm,watu hawana hata pa kukanyaga
 
Bangi bangi na viroba vinawarusha akili. Ccm inamiliki Itv? Bila Bulaya na Lembeli hamna ccm? Ama kweli bavicha hamnazo
 
Hakuna kipya kwenye huu mkutano zaidi ya Ester na Halima kuwa na furaha

mkuu mimi nimeona mapya mawili
1,ukabila wa Lissu lakini sikushanga mtu maka lissu kukurupuka na kuongea ukabila maana kama aliweza kumtukana nyerere ,akili ni ndogo
2,kundi kubwa kusombana toka dar kupambana na mtu mmoja,
 
Yaani watu walivyojazana uwanjani ccm itabidi wajiulize kama wana chao tena mwanza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom