Yaliyojiri Mkutano wa Kihistoria wa CHADEMA Mwanza, Ulirushwa live kwenye TV na Radio

Hahaa pole sana mpaka sasa sipo nyumbani TZ hivyo usifananishe kiivyo namuita mbowe ZERO kwani hata elimu namshinda japo ananishinda ufisadi wake pesa yakula si hoja ongelea mengine

Kutokuwa TZ siyo hoja hata nakonde siyo tz, hata uk watu wanazamia, jenga hoja kama Elimu ni dili ktk uongozi basi nchi hii tusingikuwa masikini mana wizara nyingi zinaongozwa na madaktari na professors lakini ndio tunazid kuwa masikini kwahiyo usituambie eti unamshinda Elimu mbowe , kazi aliyo ifanya Tz ni yakuigwa ccm wenyewe wanaikubali inawafanya wasilele , wewe unatutishia elimu tena unaweza kukuta una just bachelor tena ya sociology, watu wana MSC in laws,medicine, Agronomy but wanaikubali kazi yake. You must have problem kauli.yako tu inaonesha hauna elimu
 
Tumaini Makene,uliweka bandiko humu ndani juu ya Mkutano wa CHADEMA Mwanza Leo kuanzia saa nane ukatoa taarifa kuwa Mkutano huo utarushwa live kuanzia saa nane,sasa ni saa tisa hakuna kitu,ebu tujulishe unarushwa au haurushwi?watu tumeacha shughuli zetu huo si ustaarabu .
 
Mbona mlisema radio one watarusha?¿ Makene siku hizi tunashindwa kuelewa threads zako
 
Jamani mimi ni mdau wa mkutano wa CDM uliotangazwa kuwa utarushwa live na ITV/Radio one na STAR TV. Kwa sasa nipo huku AMSTERDAM UHOLANZI na wabongo kibao tukisubiri hiyo live stream ya STAR TV. T.Makene alisema mkutano utarushwa kuanzia saa 8 mchana. Mbona tunaelekea saa 9 hatuoni kitu? Au ndo unarushwa ITV ambayo Tajiri R.Mengi kashindwa kwenda na wakati kwa kufanya TV web casting?

Mwenye UPDATE tujulishane ili tujue kama upo au tusepe
. TAFADHALI

Mkuu #KKESHOM salaam. Habarini huko ughaibuni. Tunashukuru kwa kutenga muda wako wa thamani sana kufuatilia siasa zinavyoendelea nyumbani hususan shughuli za CHADEMA na mkutano wa leo.

Ni kweli mkutano umeanza tangu saa 8 kwa maana ya itifaki za mkutano. Live coverage inapaswa kuanza saa 9 hii. Live coverage itakuwa kupitia ITV na Radio One. Kwa wewe uliyeko mbali nadhani kama upande wa TV inakusumbua mtandaoni unaweza kupata kupitia radio au kupitia hapa na #CHADEMA Media kwenye facebook, twitter.

Pole. Kuna masuala kidogo tu ya kiufundi kisha live itaendelea kama kawaida.

Tumaini Makene kwa ubabaishaji huu wa taarifa inaonyesha ni kwa kiwango gani ulivyo mbabaishaji wa taarifa zako zisizo rasmi.
 
Last edited by a moderator:
Tuta aminije hata hizo apdate kama ulisema itarushwa alafu kimya na ww kimya husemi kama imeshindikana kurushwa
 
Mkuu #KKESHOM salaam. Habarini huko ughaibuni. Tunashukuru kwa kutenga muda wako wa thamani sana kufuatilia siasa zinavyoendelea nyumbani hususan shughuli za CHADEMA na mkutano wa leo.

Ni kweli mkutano umeanza tangu saa 8 kwa maana ya itifaki za mkutano. Live coverage inapaswa kuanza saa 9 hii. Live coverage itakuwa kupitia ITV na Radio One. Kwa wewe uliyeko mbali nadhani kama upande wa TV inakusumbua mtandaoni unaweza kupata kupitia radio au kupitia hapa na #CHADEMA Media kwenye facebook, twitter.

Pole. Kuna masuala kidogo tu ya kiufundi kisha live itaendelea kama kawaida.

si ndiyo saa tisa hii au?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom