Yaliyojiri Mkutano wa Edward Lowassa na wanawake wa DSM kutoka Ukumbi wa Millenium Tower

Wapenzi wa KABUMBU, EUFA draw ishatoka!

Group A: Paris Saint-Germain, Real Madrid, Shakhtar, Malmo

Group B: PSV, Manchester United, CSKA Moscow, Wolfsburg
Group C: Benfica, Atletico Madrid, Galatasaray, Astana

Group D: Juventus, Manchester City, Sevilla, Borussia Monchengladbach
Group E: Barcelona, Bayer Leverkusen, Roma, BATE
Group F: Bayern Munich, Arsenal, Olympiacos, Dinamo Zagreb
Group G: Chelsea, Porto, Dynamo Kiev, Maccabi Tel-Aviv
Group H: Zenit, Valencia, Lyon, Gent
 
Ukikuta CCM wamemkataa mtu, mkimbie kama ukoma. Mzee hana uwezo wa kuongea. Nimeona katika matembezi yake ya mitaani akishindwa kabisa. Mwisho alipiga picha akilipa nauli ya daladala na kunywa uji wa mama ntilie.

Wamebeba majanga jamaa.
 
wakati chadema wamelala usingizi dar ccm wamewatawanyika wanashambulia kutoka kila upande wa nchi wakitumia usafiri wa barabara wanapita kijiji kwa kijiji,Magufuli yuko nyanda za juu kusini,Kibajaji na Nape wako kanda ya ziwa,Mwigulu kanda ya magharibi kigoma kwa zitto,Mgombea mwenza samia yuko kaskazini kwa lowassa na mbowe.Hatutaki mje kulalamikia matokeo wakati hamuonekani kuwa serious kufanya kampeni za maana zaidi ya kutangatanga mjini tu,kura za dar hazitoshi zungukeni nchi nzima otherwise mtafungwa goli ambalo hamtajua limeingiaje mtabaki kulaumiana wenyewe.

11891172_864257830316591_634273818602380453_n.jpg


11924272_864257900316584_4344071826358873893_n.jpg



11230219_864258263649881_3279538486299486421_n.jpg


11953056_864257833649924_2249136443249631645_n.jpg
 
Sisi wapumbafu na malofa tutaenda wapi?! Mtu wetu ni Lofa Duni na mchukia umaskini Lowasa. Matajiri kina Ritz tutawaweza kweli!
 
Tatamadiba kazi yako kubwa na lizabini ilikuwa kuchafua uzi ule wa mkutano wa lowasa,mara umepata taarifa kuwa amezidiwa hatafika ili mradi tu muharibu!
Sasa mmeshindwa mmekimbilia huku kuanzisha chokochoko,mpaka umeanzisha Uzi wenye hoja kama hii ina maana mengine yooote yalikuwa perfect!Mlianza kutafuta majina,mkakwama kwa kukuta ni makabila yote bila upendeleo!
Hii ni mfa maji haachi kuweweseka!
 
Wadau habari za jioni. Niende kwenye mada husika. Wakati BAWACHA wameandaa mkutano wao leo hapa milenium towers, nimempenda James Mbatia mwenyekiti mwenza wa ukawa alivyo mjibu mzee mkapa. Na siku zote mtu akifanya zuri lazima apongezwe. Mbatia amemjibu Mkapa kwa maneno ya Biblia kutoka Mhubiri 4,:13 inayosema " heri kijana maskini mwenye hekima kuliko mfalme mzee moumbavu, ambaye hawezi tena kupokea maonyo".

Kwenye kumpongeza mtu anayemjibu adui wake kwa hekima apongezwe.
 
Wapenzi wa KABUMBU, EUFA draw ishatoka!

Group A: Paris Saint-Germain, Real Madrid, Shakhtar, Malmo

Group B: PSV, Manchester United, CSKA Moscow, Wolfsburg
Group C: Benfica, Atletico Madrid, Galatasaray, Astana

Group D: Juventus, Manchester City, Sevilla, Borussia Monchengladbach
Group E: Barcelona, Bayer Leverkusen, Roma, BATE
Group F: Bayern Munich, Arsenal, Olympiacos, Dinamo Zagreb
Group G: Chelsea, Porto, Dynamo Kiev, Maccabi Tel-Aviv
Group H: Zenit, Valencia, Lyon, Gent

Uwiiiiiii! Sijui tuna gundu gani Arsenal.
Ila naomba Mungu tu tuchomoke kwenye hilo group, kwenye mpira chochote kinaweza kutokea.
Man U wamepata group rahiiiiisi!
 
sababu nyingine kubwa ni aina ya mgombea tuliyoweka, hawezi kabisa kuongea na kushawishi wapiga kura
 
Wapenzi wa KABUMBU, EUFA draw ishatoka!

Group A: Paris Saint-Germain, Real Madrid, Shakhtar, Malmo

Group B: PSV, Manchester United, CSKA Moscow, Wolfsburg
Group C: Benfica, Atletico Madrid, Galatasaray, Astana

Group D: Juventus, Manchester City, Sevilla, Borussia Monchengladbach
Group E: Barcelona, Bayer Leverkusen, Roma, BATE
Group F: Bayern Munich, Arsenal, Olympiacos, Dinamo Zagreb
Group G: Chelsea, Porto, Dynamo Kiev, Maccabi Tel-Aviv
Group H: Zenit, Valencia, Lyon, Gent

Arsenal wanatabu safi MAN U
 
Wale mapopoma mnaohoji kwanini Lowassa hajaongea chochote ni kwamba ule ni mkutano wa akina mama.
Na pale amealikwa kama mgeni rasmi na kusikiliza matatizo na changamoto zinazowapata akina mama katika suala zima na afya, maendeleo na elimu pia.
Ndio maana kasema kwamba matatizo yetu ameyasikia, na yatakuwepo katika ilani.
Pia alisema pale hajaenda kutoa hotuba bali kusikiliza vilio vya akina mama.
Mnataka nini? Halafu wengi mnaohoji hilo ni wanaume!
Mimi kama mwanamke nasema ASANTE SANA LOWASA.
NINA MATUMAINI NA WEWE...
KURA YANGU NA FAMILIA YANGU NI YAKO NA NAKUAHIDI KUKUTAFUTIA KURA KAMA ULIVYOTUOMBA.
CC Queen Esther
 
Sasa kwanini ukiimbwa na EDO wanakuja juu eti anaiga nawashangaa hata mtu mzima kwenye kampeni anasema eti anaiga wimbo wao kweli na miaka yote kuwepo madarakani haelewi maana ya hati miliki. Miezi hii lazima. Kujichanganya kuwe kwingi ni kweli nimeamini dawa ime expire nguvu imeisha ku renew haiwezekani muda umesiha
 
2733
LOWASA RASMI KATIKA TASNIA YA UIGIZAJI TANZANIA
2733

Hatimaye mzee Lowasa ajikita katikda tasnia ya uigizaji Tanzania. Katika hali isiyokuwa ya kawaida mzee alitumia media kwa kiasi kikubwa kutangaza mkutano wake na wanawake wa mkoa wa Dar es Salaam leo.
Matarajio ya wengi ni kwamba mkutano huo ungekuwa na washiriki wengi hali ambayo imezidi kushangaza kwa washiriki kuwa wachache sana.
Pia tulitarajia angezungumzia mambo ya msingi ajabu hakuna chochote alichoongea cha maana zaidi ya kuimba "mchakamchaka chinja" huyu mzee kweli tumeamini hayupo siliace.
Kweli huyu ambaye hawezi kuongea mambo ya msingi ndiye anataka tumkabidhi nchi kweli huyu ataiweza au ndo maigizo ya kutaka kujulikana kama yupo?
Kulikuwa na minong`ono kuwa ni mgonjwa na hawezi ongea zaidi ya dk 10
kweli Leo kathibitisha kuwa hana uwezo wa kuongoza nchi hii, tumeshuhudia ameongea dakika 5 tu kwa kuimba!
Haaaaa kweli kaifanyia chadema maigizo kwakweli hakuna kiongozi hapa .
MTANZANIA CHUKUA HATUA TWENDE NA VIONGOZI WACHAPAKAZI, WALIO NA AFYA NJEMA NA WALIO TAYARI KUJITUMA KWA MASLAI MAPANA YA TAIFA LETU NA SIO HAWA WAIGIZAJI

Ni Kazi kweli tulitegemea tupate maelekezo ya kutosha kutoka kwake na ukizingatia kwamba yeye ndio alikuwa mgeni rasmi... Ni ajabu!!!
 
Back
Top Bottom