Yaliyojiri: Mkutano wa Dr. Slaa - Mbeya 15 Sept 2013

Mkuu,

Tunajua kuwa watu ni wachache uwanjani na ili kuondoa aibu hiyo umeamua kuleta habari bila picha. Weka picha hata kama haziridhishi na hiyo imekuchanganya mpaka umekosea tarehe.

CHADEMA huu ni mwaka tasa kwenu.

Dr. Slaa anaweza kupata watu wachache ndani ya ukumbi wa CHIMWAGA ila si kokote nje ya ukumbi huo!
Muulize gamba yeyote aliyekuwapo Luanda Nzovwe
 
CCM ashindwe na alegee kwa jina la CHADEMA
 
Mkuu, nakufahamu wewe ni muelewa tu, lakini kwa nini unaandika haya?, ni maslahi gani yanayokufanya uusaliti ukweli?, Ni kanuni gani inayoruhusu mbunge kudhalilishwa ndani ya bunge, kwa mamlaka gani na kwa kosa lipi lililohalalisha mbunge sugu kubebwa mzogamzoga kama mwizi?

Kwa mujibu wa kanuni za bunge, kuna watu watano wanaoruhusiwa kuongea wakati wowote hata kama kuna mbunge mwingine anaongea, watu hao ni Spika wa bunge, naibu spika, m/kiti wa bunge, waziri mkuu na kiongozi wa kambi ya upinzaniupinzani bungeni. Ni busara ipi na kanuni ipi aliyotumia ndugani kumwambia kiongozi wa upinzani akae chini na baadae kuamuru atolewe nje hata kama adkari waligoma?, badilika mkuu, Maslahi ni vitu vua kupita lakini ukweli utasimama, hata ukamilifu wa dahari..
 
Mkuu, hakuna sehemu niliyomtetea Mh. Ndugai na siwezi kumtetea mtu kama Mh. Ndugai ambaye hatumii busara hata kidogo katika maamuzi mengi ndani ya bunge achilia mbali sheria na kanuni za bunge. Mh. Ndugai siyo wa kujadiliwa hapa. Ameisha jijadili mwenyewe ndiyo maana Mh. Mbowe akampuuza kwa maamuzi yake na hataki kuyashikia bango kwa sababu kufanya hivyo atakuwa na yeye anafanya maamuzi ya kipuuzi.

Kitu ninachokijadili hapa ni kuhalalisha vulugu zilizofanyika ndani ya bunge kama Mh. Mbilinyi anavyofanya ambapo anaenda mbali zaidi na kuuliza umati wa watu wamkubalie kumtwanga ngumi ndani ya bunge Mh. Ndugai kama atakwaruzana naye tena akiwa amekalia kiti cha Spika. Hii ndiyo hoja yangu ya msingi.

Hatuwezi kuhalalisha vulugu ndani ya bunge hata kama Mh. Ndugai anaendeleza upuuzi kwa sababu hekima na busara zinatuasa kuwa dawa ya mpuuzi ni kumpuuza kama Mh. Mbowe alivyo mpuuza Mh. Ndugai.

Mh. Mbilinyi anahitaji kushauriwa kwa sababu inavyoonekana hajafahamu kama yeye ni kioo katika jamii na hasa kwenye kundi la vijana ambao wengi wao damu bado inachemka (foolish age) na wengine wakiwa kwenye process ya kutafuta mwerekeo mbadala katika maisha.
 
Ng'wamapalala Ndugai ameamurisha askari polisi wote, tena wasio askari wa bunge, walioko katika mazingira ya bunge kuingia ndani ya bunge, kinyume cha kanuni, kumdhalilisha mbunge, amelinajisi bunge, Yeye anayetakiwa kuhakikisha kuwa wabunge wanatunziwa heshima, ameamuru wafhalilishwe ndani ya bunge, Mbunge Sugu ameburutwa kama mbwa mwizi, huku akipigwa na mateke, mlitaka afanye nini?, katika mazingira hayo, hata ningekuwa ni mimi nakupiga ngumi.
 

hammy-D ulikuwa unataka picha, unasemaje sasa..
 
Last edited by a moderator:
kaka kemea kwa nguvu - Pepo hili ni kuu la Mapepo!!
 
Mkuu hebu jaribu kuangalia jambo kwa mapana zaidi.

Huyu Mh. Mbilinyi alienda kumkingia kifua Mh. Mbowe ili asitoke/asitolewe nje ya ukumbi wa bunge akiwa kama nani?. Kwa nini wabunge wengine hawakufanya kama alivyofanya?. Kwa nini awe ni yeye peke yake?.

Kwa hiyo yeye alifikiri kama anaweza kuhakikisha Mh. Mbowe hatoki nje na ikumbukwe kuwa, hiyo haikuwa mara ya kwanza kwa Mh. Ndugai kuamuru mbunge atoke nje.

Hizi ndizo hoja zinazotakiwa kuangaliwa kwanza kabla ya kitendo cha kurushiana mateke ambazo kwa sasa anazifanyia promo za kisiasa.

Hekima na busara zinatuasa kuwa uki act kama kichaa na wewe utakuwa ni kichaa.

I salute Mh. Mbowe approach kwa swala hili ambapo amedhihirisha upeo mkubwa katika judgement.

Tukubali kutokubaliana.
 

Kumbe na wewe unajua kuandika....!!
 
Unauliza alienda kumkinga Mbowe akiwa kama nani!, OK, akiwa kama mbunge wa CHADEMA, na sio mbunge wa CHADEMA tu bali kila mbunge wa bunge la JMT anawajibu wa kuhakikisha kanuni zinafuatwa.

Ina maana unataka kuhalalisha kuwa alichofanyiwa ni sawa tu kisa kamkinga Mbowe?, Hata hivyo naomba nikusahihishe, hakuwa peke yake kwenye kumkinga Mbowe, ni karibu wabunge wote wa CDM walimzinga Mbowe asitolewe, picha na clips zipo humuhumu zitafute ujiridhishe.

Lakini kwa nini yeye zaidi ndio aliandamwa?, wapo wanaojaribu kuhusianisha tukio hili na tukio la Sugu kudaiwa kumtukana Pinda japo mahakama ilitupilia mbali, wanajenga hoja kwamba uongozi wa bunge ulikuwa na hasira nae.
 

Nimesoma hadi kichwa kimeuma.!!
 

Hapo kwenye RED ndiyo lugha gani mkuu??!! we tulia mkuu dawa iingie taratiiibu ingawaje ni chungu lakini huna jinsi kwani ugonjwa umekuzidi mpaka umeanza kutoa povu na kupoteza fahamu sasa unaongea lugha za mataifa kama hapo kwenye RED
 
Mabumba ana afadhali kuliko ****** nadhani yeye ugali upo mwingi zaidi kichwani,pinda alinyepa baada ya kauli yake ya wapigwe tu ilipotaka kumnasa!!!safi sana makamanda hawa vilaza wakizingua tena hakikisheni mnaweka beria anadakwa pinda,anamakinda ya kunguru,****** wanachezea makofi ya kutosha!!
 
Umeguswa eeeh...wanawake wameingiaje mbona wengine mfumo dume umewatawala......vp sasa naona unaid kibao nenda kapige sap dogo

Mkuu nisaga hizo vitu za sup. Tunajadili mada iloko sasa mshikaji kuipondea cdm unaanza kutema hata vitu visivo na mashiko kwenye jukwaa. Et na wewe mwanaharakati! Harakati social/humanitia? Bora ukae kimya.. Harakati ni Ng'ox mdogo wangu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…