Yaliyojiri mkutano wa CHADEMA Kigoma

Yaliyojiri mkutano wa CHADEMA Kigoma

Yaani vibaraka wa ccm wameumia sana kwa safu mpya ya Chadema mkoa wa Kigoma. Walitegemea kupenyeza mamluki wao lakini wameshindwa hivyo wanajifariji kwa kujiongopea wenyewe.
Kazi ya kujenga chama hadi kifike mahali ilipo Chadema ni jambo kubwa na gumu sana ndiyo maana muasisi wa act bado anatafakari anaondokaje Chadema? Amekimbilia mahakamani kuunusuru uanachama wake na ugali wake.
 
kifo cha ccm kinasababishwa na uroho wa madaraka wa wakwele na watu wa pwani maana ndio wanasema chama ni chao
 
Namfahamu Kamanda Kiagala viziri sana, kamwe hawezi kutamka hayo. Mnaweweseka tu, ukombozi uko karibu
 
Mwambieni Zitto asikae nyuma ya pazia, atoke hadharani na kujitambulisha na act, kwa nini anakuwa mwoga? Si aachane na chadema?
 
Taarifa kama hizi zinazidi kuthibitisha kuwa Zitto ni Msaliti na alistahili kutimuliwa long time... Kwanini ACT na si NCCR-MAGEUZI, CUF na CCM? ACT inazidi kuthibitisha kuwa iliundwa na Kinana kwa lengo la kuidhoofisha CHADEMA!!! Bahati Mbaya sana Kijiji cha Mwandiga ni sehemu ndogo sana ya Wapiga kura wa Kigoma na Tanzania kwa Ujumla wake ... ACT na Zitto wanazidi kujimaliza kisiasa kila siku ...
Jahazi la chadema limezidi kuzama,hii ni baada ya wananchi wa kigoma kusisitiza msimamo wao wa kuikataa chadema. Haya ndiyo yaliyojiri mkutano wa leo.

Benson Kigaila azomewa kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Mwanga center kigoma mjini baada ya kusema Zitto Kabwe alipewa hoja ya Bunzwagi na sekratarieti ya CDM na kwamba hoja wanazotoa wabunge wa CDM bungeni si zao ni za chama watu wa Kigoma wamepata mshituko mkubwa Kigaila aliposema CDM makao makuu huwa inateuwa viongozi toka Kigoma kwa kuwasaidia na kwa upendeleo maalumu kwani wanakuwa hawana sifa na vigezo akatolea mfano Dr.Kaborou,Zitto,Shaban Mambo na Sabrina Sungura na akaeleza sababu ya kupendelewa kasema ni kura ambazo chadema hupata Kigoma kwenye chaguzi mbalimbali nchini alipozungumza kauli hiyo ndiyo zomeazomea ikazidi.

Na leo ndio ametangaza timu mpya aliyoisimika Kigoma kwenye mkutano huo wa hadhara na kuacha majonzi mjini Kigoma baada ya
kuwa viongozi wote walioteuliwa hawakubaliki kabisa na Watu wa Kigoma.

Na watu wa Kigoma wakaanza kuzomea tena na huku wakisema watu hao hawana uwezo wa kuvaa viatu vya Alhaji Kasisiko,Shabaani Mambo na Msafiri Wamalwa. Ni majonzi makubwa Kigaila Leo Kigoma.

Watu wa Kigoma wameomba viongozi wa ACT-Tanzania waende na kadi za kutosha kwenye mkutano wa hadhara utakaofanyika kesho Ujiji "Cine Atlas" na gari linalotangaza huo mkutano mjini Kigoma linashangiliwa sana kila eneo linakopita.
 
KIFO cha CDM kinatokana na tamaa na uchu wa madaraka wa Wachaga na Waarusha. Wanadai hicho ni chama chao kama alivyokianzisha Mchaga Mtei. Mungu akilaze mahala pema peponi. Wana Kigoma sasa tumeamka, tutawamaliza!
haa haa,kwa hiyo chama cha waha ndo kipi?
 
Mleta UHARO unalipwa bure kwa kazi usiyoiweza,huna uwezo na nashauri nape akufute kwenye payroll ya lumumba buku 7
 
Back
Top Bottom