Mawakili wanaomtetea Lwakatare katika kesi no 14 ya mwaka 2013 wamemwomba hakimu wa Mahakama kuu kutupilia mbali mashtaka yaliyowasilishwa na kusema kuwa kesi hiyo si ya Ugaidi.
Jionee
Ukweli hauumbwi unatafutwa. Hili litakuwa pigo jingine kwa CCM na washirika wake.
CHADEMA tv - YouTube
Video evidence is a lot like nitroglycerin: Properly handled, it can demolish an opposing counsel's case. Carelessly managed, it can blow up in your face.
For this reason, those offering video evidence need to use it with the greatest of care. Meanwhile, those trying to oppose such evidence should be meticulous in their attack, because there are ways that such evidence can be legitimately challenged as irrelevant, inaccurate, unfair, unauthenticated, and prejudicial, and thereby excluded from evidence.
Maelezo ya Tundu Lissu baada yakutoka mahakamani ambapo kesi ya Lwakatare iliendeshwa kwenye Chamber yaMahakama.Lissu: Tusikilizane!! NaombatusilizaneNaomba kwa niaba ya timuLwakatare niwashukuru wote mliofika hapa kutuunga mkono na kumuunga mkono Kamandawetu Wilfred Muganyizi Lwakatare.Kurugenzi ya Habari, Kwa faida ya sisi tunaotumia kitu ya kichina tafadhali tuandikie summary ya kilichozungumzwa.
Nimeupenda huu umoja wa wanachadema. Kweli kabisa pamoja na changamoto zote, CHADEMA bado kinabaki kuwa ni chama tishio sana kwa CCM. Siamini kwamba watu wanamoyo wa kukiunga mkono chama chao kiasi hiki. Kwa propaganda za CCM zilivyo, tungetarajia kwamba watu wakate tamaa, lakini naona hali ni tofauti. Mungu atutie nguvu na atutangulie katika kuyafikia mafanikio.
Nia ya mbinu zote ni kuwatifua wachanganyikiwe na kuanza kunyoosheana vidole, bora wamegundua na kubaki kitu kimoja. Hata ile isue ya zitto kuhusu simu naona analalamika tu, ukweli kama hakuitumia tangu Julai 2012 ni hakika alishaondolewa kwenye matumizi ya namba hiyo na kampuni ya simu na hivyo kurithishwa mteja mwingine licha ya baadhi ya watu kusema labda alimrudishia Zoka aliyempa. Naona tujaribu kujenga utetezi kwa Zitto pia.