Yaliyojiri Mahakama Kuu: Usikilizwaji wa UAMUZI wa pingamizi la Zitto dhidi ya CC ya CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Zitto akishashinda utasikia makamanda wakianza kutokwa povu ooh Jaji wa CCM lazima hukumu iwe upande wa zitto.
 
Wewe tapeli la gesi mabomba yanaenda na gesi itatoka nyambaf mkubwa unafikiri hiyo gesi ni mali yenu?
 
mi nawashangaa nyie ccm..hiv hata zito akishinda leo mnadhani ana chake pale chadema...tumieni akili....zito anapoteza muda tu chadema imeshamtapika
 
Misukule ya Chadema inajazwa upepo kuwa Rostam na Mkono ni mafisadi halafu Mbowe ambaye mnasema anataka kuwakomboa anakwenda kuvuta mpunga.
 
Mashabiki na wapenzi wote wa Zitto zuber kabwe tunaomba tusogee kwenye viwanja vya mahaakama kuu, tuondoke na shujaa wetu. Msiniulize huu ujasiri nautoa waap, lakini zipo taarifa njema chini ya mbachao..

Mkuu tukiacha siasa na ID za kuchonga humu JF, Eti jina lako ni "KISABENGO"
 
Ivi akifukuzwa we inakuma nini?
 
Usiongee sn..subiri hukumu ujue we run tz politicx

Aisee huu msemo unashahabiana na msemo wa illuminati wa 'we run the world" ukiwa ni moja ya maadhimio yao ya nwo...

Sitashangaa kusikia ninyi ni tawi lao...
 
Naanza kuamini sasa kuwa chadema ni chama cha kikanda, kidini sio na wana malengo yao ambayo si mazuri kwa Taifa
 
sixgates nadhani ushapata nakala ya kukumu kabla haijasomwa. Hongera
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…