Shindu Namwaka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 4,911
- 3,081
Hao ni vijana wa uvccm kitengo cha Facebook.
Kama kweli viongozi wa dini wamemshauri atuwekee ushahidi, atuwekee barua kutoka tec cct au atuwekee picha za vikao alizofanya na hao viongozi wa dini, waache kumshauri aachane na biashara ya danduro (casino) wamshhauri aache kudai haki yake ya kidemokrasia kama sio maneno ya kijinga ni nini?Mode usiunganishe uzi huu
Mwenyekiti Mbowe ni mbinafsi na mnafiki kiasi cha tuzo ya NOBEL
swala la kuhairisha UKUTA limefanywa ili kuokoa maslahi binafsi, huku akileta vijisababu ambavyo historically and even contemporarily havina mashiko hata kidogo.
Mbowe katumia madaraka yake kuhairisha ukuta ili kuokoa biashara zake (hotel) katika jengo la NHC, baada ya kupewa notice ya ghafla. Kama unabisha shauri yako, lakini kwa wenye kawaida ya kufanya root course analysis mtakubaliana na mimi kuhusu swala hili.
Baada ya UKUTA kufa hapo jana kwa kisingizio cha kusogezwa mbele, HAMTASIKIA tena deni la Mbowe likisemwa wala EVICTION notice ikiendelea. Hii si mara ya kwanza kwa deni hili kutumika kumnyamazisha mbowe, kwa wenye kumbukumbu ni mara ya pili.
Ikumbukwe mwaka 2008 wakati wapinzani walipoadhimia kutaja majina ya wabunge na mawaziri wanaochukua fedha za mifuko ya jamii kwa shughuli zao, na pia kuishutumu CCM kuwa katika mpango huo. NSSF waliibuka na notice kwa mbowe kuhusu deni la BIL 1.2 alilokopa katika mfuko huo ili kukarabati HOTEL hiyihiyo, ( barua Kumb. No. BGI/NSSF/MHL02/02/01) ilitolewa kwake mwaka huo. Baada ya kuibuliwa deni hilo Mpango wa upinzani ulikufa, hapakuwa na hoja binafsi wala list ya majina.
Lini ushauri wa VIONGOZI wa dini ilitumika kuhairisha operation ya siasa?? Je kuna wakati viongozi wa dini waliwahi kuwaangukia UKAWA kuliko walivyofanya wakati wa BUNGE LA KATIBA, mbona hawakurudi BUNGENI kwa heshima ya hao viongozi
Kuna wakati viongozi wa dini waliwaangukia ukawa kama wakati wa uchaguzi wa pili wa ZANZIBAR?? Mbona hawakumshawishi mshirika wao CUF ashiriki uchaguzi huo.
UKUTA haijahairishwa ila ndo imekufa hivyo, na ni KUOKOA biashara ya MBOWE iliyoko katika Jengo la serikali.
ACHA UBINAFSI MWENYEKITI, HAPA UFIPA TUMECHUKIA KWELI LEO, KAZI ZIMESIMAMA
Huyo ni mbeba viatu vya Lowassa, ndiyo aliyesema Alipo Mchunga Ng'ombe na yeye yupo.Mkuu ivi unajua kama leo ni tar 1 September
Bavicha wao walikuwa wapi? Maana post zote za msigwa huwa wanakimbia kumpamba.Hao ni vijana wa uvccm kitengo cha Facebook.
Ndiyo maneno yenu yaliyobaki leo.Sasa na wewe mleta mada kwa kuangalia hizo comments unaona kuna hata mmoja anaye jitambua hapo.
Hao watu wana upungufu mkubwa wa msamiati “KUJITAMBUA” Na ndio maana kwa kuangalia tu hakuna alie mjibu kwa hoja rather as usual wakatumia utaratibu wao wa UVCCM wa kujibu kimipasho mipasho.
Kuzidi kuthibitisha hilo fuatilia na baadhi ya comments humu pia, utagundua majority hawana hoja.
Thatha hata wewe angalia thread yako ulivyo ileta kishambenga shambenga... Hapo roho yako imeridhika na umejiona umeleta bonge la taarifa.
HAKIKA UVCCM NI CERTIFIED IDIOTS.
Hao ni watanzania nduguYani unajisifu kwa coments za wanaccm wenzio kweli mmeshikwa Tundu msilolipenda halafu siku hizi mnamtindo wa kuhamia akaunti za wabunge wa upinzani mkiandika shombo zenu ili mbunge fulani aonekane watu hawampendi bahati mbaya mlivyo hata mkivaa suti harufu ya kinyesi lazima itoke
Hao ni Watanzania wote. Hakuna hata mmoja hapo mwenye nembo ya CCM. Watu wameshawastukia wazee wa kubadili gia angani.Yani unajisifu kwa coments za wanaccm wenzio kweli mmeshikwa Tundu msilolipenda halafu siku hizi mnamtindo wa kuhamia akaunti za wabunge wa upinzani mkiandika shombo zenu ili mbunge fulani aonekane watu hawampendi bahati mbaya mlivyo hata mkivaa suti harufu ya kinyesi lazima itoke
WATU WESHAJUA KUWA CDM NI CHAMA CHA KISANII;KIKABILA;KIDINI;KIFISADIKamanda wa Anga anatafuta Parking angani. Hata October mosi sio Mbali sana ,mtashusha engine badala ya kubadili gia
Anzisha mada yako watu wachangie, mada za watu una comment kwa mistari miwli basi.Sasa na wewe mleta mada kwa kuangalia hizo comments unaona kuna hata mmoja anaye jitambua hapo.
Hao watu wana upungufu mkubwa wa msamiati “KUJITAMBUA” Na ndio maana kwa kuangalia tu hakuna alie mjibu kwa hoja rather as usual wakatumia utaratibu wao wa UVCCM wa kujibu kimipasho mipasho.
Kuzidi kuthibitisha hilo fuatilia na baadhi ya comments humu pia, utagundua majority hawana hoja.
Thatha hata wewe angalia thread yako ulivyo ileta kishambenga shambenga... Hapo roho yako imeridhika na umejiona umeleta bonge la taarifa.
HAKIKA UVCCM NI CERTIFIED IDIOTS.
teh teh teh trehVijana wa CCM kitengo cha facebook.
Yani sawa na mwanaume kumeza Viagra na kufanya mazoezi ya kuuweka mwili huku ukimsubiri mwanamke wako halafu anakupigia simu dakika za majeruhi kuwa sifiki lazima uweweseke huku ukipga mayowe ndo kilicho wakuta nyinyi wafuasi wa kibwetele bado mna maumivu ya jana..mazoezi mengi hadi mkafukua na vyuma chakavu halafu mwisho wa siku mpinzani hajatokea uwanjani..Intelejensia ya Chadema imeona hali ya hatariLeo ndiyo kazi mtakayofanya angalau kujiepusha na msongo wa mawazo , mfalme kabadili gia angani
Mtanzania kutokana na nchi anayotokea ila ni mwanaccm kwa kuwa anawakilisha chamaHao ni watanzania ndugu
Kwani Chadema wana nembo,Mnaumia mpinzani wenu hajatokea uwanjani mana mlikunywa hadi dawa za kuongeza nguvu sasa maumivu yamezidi..Intelejensia ya chama imefanya kaziHao ni Watanzania wote. Hakuna hata mmoja hapo mwenye nembo ya CCM. Watu wameshawastukia wazee wa kubadili gia angani.
Ahaaaaa mtaweweseka sanaMtanzania kutokana na nchi anayotokea ila ni mwanaccm kwa kuwa anawakilisha chama
Mnaweweseka nyinyi ambae mmeza hadi dawa za kuongeza nguvu halafu mliemtegemea hajatokea uwanjani lazima maumivu uyasikie mrudishe vyuma vyenye kutu mvitoe tena oktoba 1Ahaaaaa mtaweweseka sana