Yaliyojiri kesi ya Halima Mdee na wenzake 18, Peter Kibatala anamkaanga Hawa Subira Mwaifunga

Katika mambo yaliyonishangaza kwenye kesi inayoendelea, ambapo Watu 19 wasio na Chama wanapigania roho zao Mahakamani kwa kung'ang'ania uanachama wa Chadema, huku wakiwa wametimuliwa kitambo, ni Makundi makubwa ya wana-CCM ndani na nje ya Mahakama wakifuatilia kesi hiyo.

Miongoni mwa wanachama hao wa CCM yumo anayeitwa ALLY BANANGA kutoka Arusha, ambaye bado haijajulikana sababu hasa za yeye kukurupuka kutoka Arusha hadi Dar kwa mambo yasiyomhusu.

Yako mengi yanayoendelea kwenye viunga hivi, kaeni mkao wa kula.
Na wewe usiwe mpumbavu. Unaogopa hata vitu vya kipumbavu. Kesi ni ya wazi. Any person anayetaka anaenda kusikiliza. Unafanya sasa Chadema waonekane wengi wapumbavu. Wanalalamika hata mambo ya kipumbavu tu. Hiyo kesi ni huru si ya kificho kama mtu kaamua akasikilize wewe unaumia nini ?unaoogopa nini? Badala utupe yaliyojili mahakamani tujue hao Covid 19 leo wamepataje Kipigo unatuletea habari za kipumbavu uwepo wa Ally. Uwepo sisi unatuhusu nini?
 
Huyo Bananga mke wake ni Miongoni mwa COVID 19 na anamtegemea kwa hako kamshahara ka Usaliti
 
Katika mambo yaliyonishangaza kwenye kesi inayoendelea, ambapo Watu 19 wasio na Chama wanapigania roho zao Mahakamani kwa kung'ang'ania uanachama wa Chadema, huku wakiwa wametimuliwa kitambo, ni Makundi makubwa ya wana-CCM ndani na nje ya Mahakama wakifuatilia kesi hiyo.

Miongoni mwa wanachama hao wa CCM yumo anayeitwa ALLY BANANGA kutoka Arusha, ambaye bado haijajulikana sababu hasa za yeye kukurupuka kutoka Arusha hadi Dar kwa mambo yasiyomhusu.

Yako mengi yanayoendelea kwenye viunga hivi, kaeni mkao wa kula.
Huyo analishwa na mkewe....vituMlm
 
Ukawa ilikuwa ni hatua kubwa na ya pekee kuelekea mapinduzi ya kisiasa Tanzania lakini mabwege wakaiuza kwa bakuli la "supu ya dengu" .
Hii issue ya akina Mdee na wenzake inawagharimu na itawagharimu 2025.
Shujaa mwenda zake alitumia mbinu ile ya EL 2015 watu wamebaki wanatifuana wenyewe kwa wenyewe pale ufipa.
 
Na wewe usiwe mpumbavu. Unaogopa hata vitu vya kipumbavu. Kesi ni ya wazi. Any person anayetaka anaenda kusikiliza. Unafanya sasa Chadema waonekane wengi wapumbavu. Wanalalamika hata mambo ya kipumbavu tu. Hiyo kesi ni huru si ya kificho kama mtu kaamua akasikilize wewe unaumia nini ?unaoogopa nini? Badala utupe yaliyojili mahakamani tujue hao Covid 19 leo wamepataje Kipigo unatuletea habari za kipumbavu uwepo wa Ally. Uwepo sisi unatuhusu nini?
Hatuandiki kibwege kama unavyodhani
 
Katika mambo yaliyonishangaza kwenye kesi inayoendelea, ambapo Watu 19 wasio na Chama wanapigania roho zao Mahakamani kwa kung'ang'ania uanachama wa Chadema, huku wakiwa wametimuliwa kitambo, ni Makundi makubwa ya wana-CCM ndani na nje ya Mahakama wakifuatilia kesi hiyo.

Miongoni mwa wanachama hao wa CCM yumo anayeitwa ALLY BANANGA kutoka Arusha, ambaye bado haijajulikana sababu hasa za yeye kukurupuka kutoka Arusha hadi Dar kwa mambo yasiyomhusu.

Yako mengi yanayoendelea kwenye viunga hivi, kaeni mkao wa kula.
Mungu ibariki CHADEMA
 
Ally bananga yupo dar mbn kitambo tu anazurura huko Koko beach
 
Kwahiyo nyie mende wakati Balozi za Sweeden wakija pale kwa Gaidi walikua Chadema?

Ebu wacha ujunga hao ni watanzania wana haki ya kufika mnaogopa matango pori yataumbuliwa sio.
 
Ndio namaanisha bungeni ila ili wapate uhalal huko ni lazima wawe attached cdm ndio maana hata cdm hawataondoka mpaka 2025 licha ya kufukuzwa
Hili linawezekana maana kesi kusikilizwa mpk 21/10 nikajisemea mbona mbali sana
 
Back
Top Bottom