D duanzi JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 16,428 Reaction score 225 Jan 24, 2014 #81 Mungi said: Amezungumzia suala la Zitto Kabwe, kwamba chadema walishamalizana na Zitto Kabwe, anasema anabaki tu kama mwanachama wa chadema kupitia mahakama. Click to expand... hivi huyu lissu zito alisha mmini kabang nini? maana ana mahaba na zito kushinda mke wake. akilala zito. akiamka zito.akiota zito. eeeeh, kweli lisu amechanganyikiwa
Mungi said: Amezungumzia suala la Zitto Kabwe, kwamba chadema walishamalizana na Zitto Kabwe, anasema anabaki tu kama mwanachama wa chadema kupitia mahakama. Click to expand... hivi huyu lissu zito alisha mmini kabang nini? maana ana mahaba na zito kushinda mke wake. akilala zito. akiamka zito.akiota zito. eeeeh, kweli lisu amechanganyikiwa
D duanzi JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 16,428 Reaction score 225 Jan 24, 2014 #82 rais wa migomo said: Hiyo ndio demokrasia? Akumbuke kuwa kadi yake alikabidhiwa na zitto Click to expand... lisu ana matatizo .ana mahaba mazito sana kwa zito si bure huyu mwanasheria akili zake zina matege
rais wa migomo said: Hiyo ndio demokrasia? Akumbuke kuwa kadi yake alikabidhiwa na zitto Click to expand... lisu ana matatizo .ana mahaba mazito sana kwa zito si bure huyu mwanasheria akili zake zina matege
Mungi JF Gold Member Joined Sep 23, 2010 Posts 16,975 Reaction score 9,580 Jan 24, 2014 Thread starter #83 MAHORO said: source plz... Click to expand... Sorce ipi tena? habari ilikuwa live..
Daffi Jr JF-Expert Member Joined Jun 25, 2011 Posts 3,824 Reaction score 909 Jan 24, 2014 #84 Nilikuwepo sombetini/ngusero mwisho wa hiace!!kwa majukumu niliokuwa nayo leo ckukaa kusikiliza makamanda wote!!!Heko Chadema!!!Chadema daima
Nilikuwepo sombetini/ngusero mwisho wa hiace!!kwa majukumu niliokuwa nayo leo ckukaa kusikiliza makamanda wote!!!Heko Chadema!!!Chadema daima